Shein atangaza elimu kuwa kipaumbele
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema sekta ya elimu itapewa kipaumbele cha kwanza akirejea madarakani. Pamoja na kipaumbele hicho, mgombea huyo ametangaza kufuta ada na michango yote kwa wanafunzi wa sekondari na kuahidi kujenga Chuo kikuu kipya Dole, Unguja.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Jan
Dk. Shein atangaza elimu bure Zanzibar
ELIAS MSUYA NA IS-HAK OMARI, ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ametangaza rasmi kufuta michango yote katika elimu ya msingi kuanzia Julai mwaka huu.
Amesema kutokana na hali hiyo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itabeba gharama zote ikiwa kama mkakati wa kuinua elimu.
Hayo aliyasema jana wakati akihutubia mamia ya wananchi katika sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
Alisema...
9 years ago
Habarileo24 Aug
Shein: Amani na utulivu kipaumbele cha CCM
MWENYEKITI wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema ili kuhakikisha kunakuwepo na maendeleo ya kiuchumi na kijamii, suala la amani na utulivu ni la kipaumbele kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali zake.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Dk. Bana: Rais hajaipa kipaumbele elimu
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, amesema wananchi walitarajia katika hotuba ya kuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 Rais Jakaya Kikwete angezungumzia sekta ya...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Nanyaro: Kipaumbele kiwekwe kwenye elimu
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Japo muziki ni kipaji, elimu pia ipewe kipaumbele
10 years ago
VijimamboBAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KIPAUMBELE CHAKE NI BARABARA, ELIMU, AFYA NA WAZEE
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rhmXqJtPdp8/VcHlFVzx8RI/AAAAAAAC9Xk/mXD0uKjmMQk/s72-c/Photo%2B1.jpg)
MOJA YA KIPAUMBELE CHETU NI KUIGEUZA TTB KUWA MAMLAKA - DK MERU
![](http://2.bp.blogspot.com/-rhmXqJtPdp8/VcHlFVzx8RI/AAAAAAAC9Xk/mXD0uKjmMQk/s640/Photo%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-S-Qp5S7rnmU/VcHlKRiNVMI/AAAAAAAC9Xs/-pjjY9bAfGk/s640/Photo%2B3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PiUFWn6laME/UvNwNcZ5TdI/AAAAAAAFLLE/UALbtzKbDxg/s72-c/unnamed+(51).jpg)
Elimu ipewe kipaumbele Ili kuwawezesha wananchi wa kusini kunufaika na rasilimali ya gesi — Norway
![](http://1.bp.blogspot.com/-PiUFWn6laME/UvNwNcZ5TdI/AAAAAAAFLLE/UALbtzKbDxg/s1600/unnamed+(51).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0YKwmNv7rrA/UvNwNQlIrUI/AAAAAAAFLLI/sDY1s2arHMo/s1600/unnamed+(52).jpg)
BOFYA HAPA...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
URAIS2015: Kwa Nini nimechagua kuzalisha ajira kuwa kipaumbele cha kwanza? — Kigwangalla
Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla (CCM) ambaye ametangaza nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2015.
Nchi yoyote ili iendelee lazima watu wake wawe na amani, uhuru, furaha, uzalendo, uwajibikaji, nidhamu ya kazi, ubunifu na uchapakazi. Ili watu wetu wawe na vitu hivi lazima tujenge misingi ya usawa na motisha. Usawa utawafanya watu waone nchi yao inawajali na hivyo watavumilia jua na mvua. Motisha itawafanya watu wawe tayari...