Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu ipewe kipaumbele Ili kuwawezesha wananchi wa kusini kunufaika na rasilimali ya gesi — Norway

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Nasoro Hamid akizungumza na ujumbe toka Norway ulipofika ofisini kwake kwa lengo la kubadilishana uzoefu juu ya namna nchi hiyo ilivyoweza kunufaika kwa kuwekeza katika sekta ya gesi mnamo miaka ya 1970. Anayesaini kitabu ni Bw. Alaf Jakobson Meya wa mji wa Hammerfest nchini Norway. Meya wa mji wa Alstahaug Bw. Bard Anders akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisini kwa Meya wa mji wa Lindi Bw. Frank Magali mwenye miwani.
BOFYA HAPA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Japo muziki ni kipaji, elimu pia ipewe kipaumbele

Anafahamika kisanii kama Sura Moja , lakini jina lake halisi ni Remmy Henry Mrosso,aliyezaliwa mkoani Kilimanjaro miaka 31 iliyopita.

 

10 years ago

StarTV

Wananchi Kusini kunufaika na ujenzi wa Reli ya Mbamba Bay.

Na Adam Nindi,

Songea.

 

Wananchi wanaoishi Kusini mwa Tanzania jirani na Nchi za Msumbiji na Malawi wanatarajia kunufaika na Reli itakayojengwa kutoka Mbamba Bay wilayani Nyasa hadi mkoani Mtwara ambayo ujenzi wake utaanza mwezi Juni mwaka huu.

Katika ziara ya siku moja mkoani Ruvuma, Waziri wa Uchukuzi Dokta Harrison Mwakyembe amebainisha kuwa reli hiyo ya Mtwara Kolido itagharimu fedha za kimarekani dola Bilioni tatu mpaka kumalizika kwake.

 

Waziri Mwakyembe amesema ujenzi wa Reli hiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti: Wananchi wanataka gesi isaidie afya, elimu

Utafiti mpya umeonyesha kuwa asilimia 80 ya wananchi wanataka mapato yatakayopatikana kwenye mauzo ya gesi asilia yatumike kwa ajili ya kuboresha huduma za afya na elimu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Elimu ya jinsia ipewe umuhimu

ELIMU ni miongoni mwa nyenzo muhimu katika maisha ya kila siku ya mwandamu bila kujali rangi, kabila, au jinsia. Hii inatokana na ukweli kwamba elimu hutoa maarifa mbalimbali ambayo humfanya...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ITAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KUTAFUTA RASILIMALI FEDHA ZA NDANI NA NJE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwasilisha taarifa ya Ofisi hiyo kuhusu kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotengewa fedha kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini leo Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Sadiq Murad akiongoza kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Elimu itolewe kwa wananchi ili kuzuia kasi ya maambukizi mapya ya VVU Wilayani Mafia — Mama Salma Kikwete

9151

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia (hawapo pichani).

258

Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).

Na Anna Nkinda – Maelezo, Mafia

Viongozi wa wilaya ya Mafia na wafanyakazi wa Idara ya afya wametakiwa kuhakikisha elimu ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) inatolewa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wataka STAMICO ipewe nguvu kusimamia Sekta ya Madini nchini

227

Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO wakiwahudumia wageni waliotembelea katika banda lao kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yaliyomalizika hivi karibuni.

-Waunga mkono kauli ya Waziri wa Nishati na Madini

-Wataka wenye uwezo kuacha ubinafsi na ubepari

-Wataka raslimali za madini ziwanufaishe Watanzania wote

Na. Issa Mtuwa – STAMICO

Wananchi wameiomba serikali kuhakikisha rasilimali za Madini zinawanufahisha Watanzania wote na sio wachache wenye uwezo. Kauli ambayo imewahi...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ kutoa kipaumbele masomo ya gesi, mafuta

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itatoa kipaumbele kwa wanafunzi wa Kidato cha Sita kupata mikopo katika Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu kwa wanafunzi watakaopenda kusomea masomo ya rasilimali ya mafuta na gesi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ugunduzi wa gesi: Tanzania tunajifunza nini kwa Norway

Soko kubwa la mafuta na gesi asilia katika bara la Ulaya inaelezwa kuwa limetekwa na Norway. Shirika la ‘The U.S Energy Information Administration (EIA) linaitaja Norway kama taifa la tatu katika ushindani wa soko la gesi na mafuta duniani, ikitanguliwa na Urusi na Qatar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani