Elimu ya jinsia ipewe umuhimu
ELIMU ni miongoni mwa nyenzo muhimu katika maisha ya kila siku ya mwandamu bila kujali rangi, kabila, au jinsia. Hii inatokana na ukweli kwamba elimu hutoa maarifa mbalimbali ambayo humfanya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Japo muziki ni kipaji, elimu pia ipewe kipaumbele
Anafahamika kisanii kama Sura Moja , lakini jina lake halisi ni Remmy Henry Mrosso,aliyezaliwa mkoani Kilimanjaro miaka 31 iliyopita.
11 years ago
MichuziElimu ipewe kipaumbele Ili kuwawezesha wananchi wa kusini kunufaika na rasilimali ya gesi — Norway
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Nasoro Hamid akizungumza na ujumbe toka Norway ulipofika ofisini kwake kwa lengo la kubadilishana uzoefu juu ya namna nchi hiyo ilivyoweza kunufaika kwa kuwekeza katika sekta ya gesi mnamo miaka ya 1970. Anayesaini kitabu ni Bw. Alaf Jakobson Meya wa mji wa Hammerfest nchini Norway.
Meya wa mji wa Alstahaug Bw. Bard Anders akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisini kwa Meya wa mji wa Lindi Bw. Frank Magali mwenye miwani.
BOFYA HAPA...
BOFYA HAPA...
10 years ago
MichuziWanawake wataka umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.Katibu wa Umoja wa Wanawake Wabunge Tanzania (TWPG), Mhe. Angellah Kairuki (MB) akizungumzia masuala mbalimbali ya kijinsia katika Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa...
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Elimu ya Jinsia lazima Uingereza
Ripoti zinaonyesha kuwa Uingereza iko nafasi ya nne kuwa na idadi kubwa ya Wasichana wajawazito katika nchi za jumuia ya Ulaya.
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Umuhimu wa elimu maalumu katika jamii
Elimu maalumu hutolewa kwa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali hadi kufikia umri wa miaka 21.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Elimu ukatili wa jinsia kuwasaidia Chamwino
UKATILI wa kijinsia ni kitendo kinachoweza kusababisha madhara au mateso ya kisaikolojia kwa mtu. Miongoni mwa vitendo vya kikatili ni pamoja na kutishia na kunyima uhuru, kunyimwa mahitaji muhimu na...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali katika shule na vyuo -1
Elimu ya ujasiriamali katika nchi yetu haina ‘umri’ mkubwa kama zilivyo taaluma nyingine zikiwamo lugha, historia, siasa na sayansi. Hii ni kutokana na historia ya nchi yetu hasa baada ya kupata uhuru, kwamba tuliamua kufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea kupitia Azimio la Arusha.
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPEWA ELIMU JUU YA HAKI ZA JINSIA
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisikilizwa kwa makini na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati alipokuwa akitoa mafunzo ya jinsia kwenye semina iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Esther Mattle akimuuliza swali Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, wakati wa semina ya...
10 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPEWA ELIMU JUU YA HAKI ZA JINSIA
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisikilizwa kwa makini na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati alipokuwa akitoa mafunzo ya jinsia kwenye semina iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Esther Mattle… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania