Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPEWA ELIMU JUU YA HAKI ZA JINSIA‏

Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisikilizwa kwa makini na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati alipokuwa akitoa mafunzo ya jinsia kwenye semina iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi  wake  iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Esther Mattle… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPEWA ELIMU JUU YA HAKI ZA JINSIA

Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisikilizwa kwa makini na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati alipokuwa akitoa mafunzo ya jinsia kwenye semina iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Esther Mattle akimuuliza swali Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, wakati wa semina ya...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA‏

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuatilia mafunzo ya sheria inayomlinda mtoto pamoja na masuala mengine ya jinsia yaliyokuwa yakitolewa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam leo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi   Dawati la Jinsia Mkoa  wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (hayupo pichani).

  Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuatilia mafunzo ya sheria inayomlinda mtoto pamoja na masuala mengine ya jinsia yaliyokuwa yakitolewa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam leo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (hayupo pichani).Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA‏ WATEMBELEWA WATOTO YATIMA

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na mtoto Pendo Juma(kushoto)anaelelewa katika kituo cha yatima cha Malaika cha Kinondoni jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba mfuko wa mchele wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kuwasilisha msaada kwa niaba ya wafanyakazi wenzao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu akiongozana nao kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA WAGONJWA CCBRT‏

Mtoto Raphael Barnaba (4) kutoka mkoani Mbeya anayetibiwa miguu katika hospitali ya CCBRT iliyopo jijini Dar es Salaam, akipokea kwa furaha zawadi ya matunda kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Rasilimali Watu, Alice Lewis (katikati) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea wagonjwa katika hospitali hiyo na kuwagawia matunda kama sehemu ya kampeni ya Pamoja na Vodacom chini ya Vodacom...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI‏

Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Muuza magazeti wa Kariakoo jijini Dar es…

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO‏

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu  salama ili kuokoa maisha ya watanzania wengine. Uchangiaji huo ulifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania…

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA‏

Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam, wakiangalia simu ya mfanyakazi wa  Vodacom Tanzania ShamsaHamud(anayewashuhudia)Wafanyakazi wa kampuni hiyo walifika kituoni hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na fedha taslimu zilizochangwa na wafanyakazi waislamu na marafiki zao kwa ajili ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya Idd.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani