Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO‏

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu  salama ili kuokoa maisha ya watanzania wengine. Uchangiaji huo ulifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO

Afisa mtoa damu wa mpango wa Taifa wa Damu Salama, Daudi Mkawa akimtoa damu mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Lizian Mushi.Wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipojitolea kuchangia damu kwa hiari ili kuokoa maisha ya watanzania wengine uchangiaji huo ulifanyika makao makuu ya vodacom Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu salama ili kuokoa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania msikubali kutozwa rushwa kwa ajili ya damu, toa taarifa kwa nesi, daktari atakayetoza damu!- Dk. Kigangwalla

IMG_0681

Afisa Uendeshaji wa Ofisi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama zilizopo jijini Dar es Salaam, Bw. Abdu Juma akitoa maelezo ya namna wanavyoendesha shughuli zao kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kingwangalla aliyefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi hizo, Januari 4, 2016. (Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Modewjiblog, Team.

Naibu Waziri wa  Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza watanzania...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA MSIKUBALI KUTOZWA RUSHWA KWA AJILI YA DAMU, TOA TAARIFA KWA NESI, DAKTARI ATAKAYETOZA DAMU!- DK. KIGWANGALA

IMG_0681
Afisa Uendeshaji wa Ofisi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama zilizopo jijini Dar es Salaam, Bw. Abdu Juma akitoa maelezo ya namna wanavyoendesha shughuli zao kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kigwangalla aliyefanya ziara ya kushtukiza katika ofisi hizo, Januari 4, 2016. (Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).IMG_0770Afisa Uendeshaji wa Ofisi za Mpango wa Taifa wa Damu Salama zilizopo jijini Dar es Salaam, Bw. Abdu Juma akimwonyesha Naibu Waziri wa Afya,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Mgodi wa Bulyankulu wachangia damu

Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu Bulyanhulu katika wilayani Kahama, mkoani Shinyanga wameitumia siku ya familia kupima Ukimwi na kutoa damu itakayotumika kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Kahama.

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR‏

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha  Mwandaliwa Islamic kilichopo  Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari   watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

TPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA


 Katika kuonyesha kuwa Benki ya Posta Tanzania (TPB), inafanya inatoa huduma za kibenki, lakini pia iko mstari wa mbele kuwajali wateja wake na wananchi kwa ujumla. Katika kutekeleza hilo,  wafanyakazi wa benki hiyo, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Sabasaba Moshingi, wamejitolea damu, "kutunisha" benki ya taifa ya damu na hivyo kuokoa maisha ya watanzania ambapo miongoni mwao ni wateja wake. Zoezi la kutoa damu lilifanyika makao makuu ya benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA‏ WATEMBELEWA WATOTO YATIMA

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na mtoto Pendo Juma(kushoto)anaelelewa katika kituo cha yatima cha Malaika cha Kinondoni jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba mfuko wa mchele wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kuwasilisha msaada kwa niaba ya wafanyakazi wenzao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu akiongozana nao kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA WAGONJWA CCBRT‏

Mtoto Raphael Barnaba (4) kutoka mkoani Mbeya anayetibiwa miguu katika hospitali ya CCBRT iliyopo jijini Dar es Salaam, akipokea kwa furaha zawadi ya matunda kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Rasilimali Watu, Alice Lewis (katikati) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea wagonjwa katika hospitali hiyo na kuwagawia matunda kama sehemu ya kampeni ya Pamoja na Vodacom chini ya Vodacom...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI‏

Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Muuza magazeti wa Kariakoo jijini Dar es…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani