Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Mgodi wa Bulyankulu wachangia damu

Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu Bulyanhulu katika wilayani Kahama, mkoani Shinyanga wameitumia siku ya familia kupima Ukimwi na kutoa damu itakayotumika kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Kahama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO

Afisa mtoa damu wa mpango wa Taifa wa Damu Salama, Daudi Mkawa akimtoa damu mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Lizian Mushi.Wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipojitolea kuchangia damu kwa hiari ili kuokoa maisha ya watanzania wengine uchangiaji huo ulifanyika makao makuu ya vodacom Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu salama ili kuokoa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO‏

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu  salama ili kuokoa maisha ya watanzania wengine. Uchangiaji huo ulifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania…

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani

01

Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.

02

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy  Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wachangia benki ya damu

UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tabora umetembelea Benki ya Damu na kuchangia huduma hiyo kwa wahitaji. Akizungumza baada ya kuchangia damu, Mwenyekiti wa CHADEMA...

 

11 years ago

Mwananchi

Waumini Sabato wachangia damu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista wa Sabato Jimbo la Mashariki Tanzania, Mark Malekana ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kuchangia damu ili kupunguza uhaba uliopo hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Bodaboda wachangia damu, madawati

Boda boda.UMOJA wa Madereva waendesha pikipiki wilayani hapa, mwishoni mwa wiki ulishiriki katika tukio la kihistoria, la kujitolea kutoa damu katika hospitali ya wilaya ya Serengeti ya DDH sambamba na kutoa mchango wa madawati 10, yenye thamani ya Sh 800,000 kwa shule za msingi za Kambarage na Matare.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urasimu wakatisha tamaa wachangia damu

MWITIKIO mdogo wa jamii katika uchangiaji damu wa hiari umetajwa kusababishwa na urasimu wa watumishi wa umma katika sekta ya afya, hasa kitengo cha damu salama kutokana na damu hiyo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vijana wachangia damu wanajeshi Cameroon

Mamia ya vijana nchini Cameroon,wamejitolea kuwapa damu wanajeshi wanaopambana na kundi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo

 

10 years ago

Michuzi

TPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA


 Katika kuonyesha kuwa Benki ya Posta Tanzania (TPB), inafanya inatoa huduma za kibenki, lakini pia iko mstari wa mbele kuwajali wateja wake na wananchi kwa ujumla. Katika kutekeleza hilo,  wafanyakazi wa benki hiyo, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Sabasaba Moshingi, wamejitolea damu, "kutunisha" benki ya taifa ya damu na hivyo kuokoa maisha ya watanzania ambapo miongoni mwao ni wateja wake. Zoezi la kutoa damu lilifanyika makao makuu ya benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani