Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA wachangia benki ya damu

UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tabora umetembelea Benki ya Damu na kuchangia huduma hiyo kwa wahitaji. Akizungumza baada ya kuchangia damu, Mwenyekiti wa CHADEMA...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waumini Sabato wachangia damu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista wa Sabato Jimbo la Mashariki Tanzania, Mark Malekana ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kuchangia damu ili kupunguza uhaba uliopo hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Bodaboda wachangia damu, madawati

Boda boda.UMOJA wa Madereva waendesha pikipiki wilayani hapa, mwishoni mwa wiki ulishiriki katika tukio la kihistoria, la kujitolea kutoa damu katika hospitali ya wilaya ya Serengeti ya DDH sambamba na kutoa mchango wa madawati 10, yenye thamani ya Sh 800,000 kwa shule za msingi za Kambarage na Matare.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani

01

Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.

02

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy  Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014

 Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Meneja Mwandamizi Tawi la Samora la Benki ya Exim Nancy Huggins, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani inayofanyika kila mwaka ifikapo Juni 14  Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Afisa wa Benki ya Exim Daniel Lukuba, ikiwa ni maadhimisho ya Siku...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vijana wachangia damu wanajeshi Cameroon

Mamia ya vijana nchini Cameroon,wamejitolea kuwapa damu wanajeshi wanaopambana na kundi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Mgodi wa Bulyankulu wachangia damu

Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu Bulyanhulu katika wilayani Kahama, mkoani Shinyanga wameitumia siku ya familia kupima Ukimwi na kutoa damu itakayotumika kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Kahama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urasimu wakatisha tamaa wachangia damu

MWITIKIO mdogo wa jamii katika uchangiaji damu wa hiari umetajwa kusababishwa na urasimu wa watumishi wa umma katika sekta ya afya, hasa kitengo cha damu salama kutokana na damu hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI. DAR ES SALAAM: JUNE 14, 2015

 Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania  Bi. Ilakiza Hezwa (kulia) akichangia damu sambamba na wafanyakazi wenzie waliojitokeza makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani .Kushoto ni Ofisa wa Mpango wa taifa wa damu salama (NBTS) Bw. Peter Chami. Mkuu wa kitengo Uendeshaji na teknolojia Bw. Hamza Mohamed (kulia) akipima shinikizo la damu kabla ya kuungana na wafanyakazi wenzie wa benki hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani