TPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA
Katika kuonyesha kuwa Benki ya Posta Tanzania (TPB), inafanya inatoa huduma za kibenki, lakini pia iko mstari wa mbele kuwajali wateja wake na wananchi kwa ujumla. Katika kutekeleza hilo, wafanyakazi wa benki hiyo, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Sabasaba Moshingi, wamejitolea damu, "kutunisha" benki ya taifa ya damu na hivyo kuokoa maisha ya watanzania ambapo miongoni mwao ni wateja wake. Zoezi la kutoa damu lilifanyika makao makuu ya benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mtwara wahimizwa kuchangia damu kuokoa maisha
WAKAZI wa mikoa ya Kanda ya Kusini, wamehimizwa kuchangia damu mara kwa mara, ili kuokoa maisha ya wajawazito wakati wa kujifungua na watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ushauri...
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO
10 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Hospitali za Apollo zatoa wito kwa watu binafsi kuchangia damu na kuokoa maisha
Ikisherehekewa kila mwaka tarehe 14 Juni Siku ya kimataifa ya uchangiaji damu inahusika katika kuinua uelewa wa umuhimu wa kila mmoja kuwa mstari wa mbele kuokoa maisha na pia kutoa shukrani kwa wachangiaji damu wote duniani. Katika nchi zinazo kua kama Tanzania upatikanaji wa damu salama ni bidhaa adimu na hasa inachangiwa na ushiriki mdogo wa raia.
Hata hivyo pamoja na shughuli zote zinazofanyika katika siku hiyo ni muhimu sana kila mmoja kutambua umuhimu wa kuchangia damu kwa hiyari....
10 years ago
MichuziWATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO
Watanzania walioko nchini Marekani, wamechangisha zaidi ya Dola 3,550 kwa ajili ya kumsaidia ndugu Moh'd Said Moh'd anayehitaji kwenda nchini India kwa matibabu.Bi Moza Moh'd Khamis akitoa maelezo machache, Maryam Shaaban kulia, pamoja na Bi Asha Haris, Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
10 years ago
MichuziAirtel yashirikiana na Kitengo cha damu salama cha taifa kuokoa maisha
10 years ago
VijimamboPICHA ZINGINE ZA WATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO
Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
CHADEMA wachangia benki ya damu
UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tabora umetembelea Benki ya Damu na kuchangia huduma hiyo kwa wahitaji. Akizungumza baada ya kuchangia damu, Mwenyekiti wa CHADEMA...
10 years ago
Habarileo08 Dec
Bodaboda wachangia damu, madawati
UMOJA wa Madereva waendesha pikipiki wilayani hapa, mwishoni mwa wiki ulishiriki katika tukio la kihistoria, la kujitolea kutoa damu katika hospitali ya wilaya ya Serengeti ya DDH sambamba na kutoa mchango wa madawati 10, yenye thamani ya Sh 800,000 kwa shule za msingi za Kambarage na Matare.