Airtel yashirikiana na Kitengo cha damu salama cha taifa kuokoa maisha
![](http://1.bp.blogspot.com/-AAFJihuya9M/VNSvU25I4dI/AAAAAAAHCMw/2UgrRGns-f0/s72-c/1.jpg)
Mtaalam wa Kutoa Damu wa Kitengo cha Damu Salama, Kanda ya Mashariki, Daudi Mkawa akimtoa damu Mfanyakazi wa Airtel Tanzania, Amitin Mbamba wakati wa zoezi la kuchangia damu lililofanywa na wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya Airtel, jijini Dar es Salaam jana. Kitengo cha Damu Salama kina upungufu mkubwa wa damu ambapo kiasi cha ujazo wa unit 350,000 zinahitajika kwa ajili ya dharura za kitabibu kila mwaka.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Adam Suleiman na Frank Munale...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU AFUNGUA KITENGO CHA KUCHUJA DAMU
Pia, Waziri Mkuu amefungua mradi wa ujenzi wa barabara ya Makorora-Msambweni (km nne) iliyojengwa kwa thamani ya sh. bilioni 5.9 ambayo itarahisisha mawasiliano kwa wakazi wa kata za Msambweni, Makorora, Mzingani na watumiaji wengine wa...
10 years ago
MichuziNHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Hospitali Tumbi yahitaji kituo cha damu salama
HOSPITALI Teule ya Rufaa ya Tumbi iliyopo Kibaha mkoani Pwani, inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa kituo cha damu salama. Ukosefu wa kituo hicho umekuwa ukisababisha damu inayokusanywa hospitalini...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mtwara wahimizwa kuchangia damu kuokoa maisha
WAKAZI wa mikoa ya Kanda ya Kusini, wamehimizwa kuchangia damu mara kwa mara, ili kuokoa maisha ya wajawazito wakati wa kujifungua na watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ushauri...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YU8fmcY_Lh8/VZDqZOemAXI/AAAAAAAAVbk/Bygt7bsSyI4/s72-c/8p8kpSL9ZloWJj7K5NLK45qXLp0krgVRGyg4wbtY1J8.jpg)
TPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-YU8fmcY_Lh8/VZDqZOemAXI/AAAAAAAAVbk/Bygt7bsSyI4/s640/8p8kpSL9ZloWJj7K5NLK45qXLp0krgVRGyg4wbtY1J8.jpg)
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Wabunge: Kitengo cha deni la Taifa kinahitaji wataalamu
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Hospitali za Apollo zatoa wito kwa watu binafsi kuchangia damu na kuokoa maisha
Ikisherehekewa kila mwaka tarehe 14 Juni Siku ya kimataifa ya uchangiaji damu inahusika katika kuinua uelewa wa umuhimu wa kila mmoja kuwa mstari wa mbele kuokoa maisha na pia kutoa shukrani kwa wachangiaji damu wote duniani. Katika nchi zinazo kua kama Tanzania upatikanaji wa damu salama ni bidhaa adimu na hasa inachangiwa na ushiriki mdogo wa raia.
Hata hivyo pamoja na shughuli zote zinazofanyika katika siku hiyo ni muhimu sana kila mmoja kutambua umuhimu wa kuchangia damu kwa hiyari....
9 years ago
StarTV09 Nov
Maisha ya wenye uhitaji wa damu salama mkoani Singida yapo hatarini
Mkoa wa Singida unakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu katika hospitali zake kwa zaidi ya asilimia 60, hali inayotishia uhai wa maisha ya wanawake wajawazito na watoto wakati wa kujifungua, watu waliopata ajali pamoja na wagonjwa wengine wenye uhitaji wa damu salama haraka.
Imeelezwa kuwa mkoa huo ambao kwa wastani huwa na mahitaji ya Uniti 8,000 za damu kwa mwaka, umekuwa ukikusanya Uniti zisizozidi 3,000 kwa kipindi hicho hivyo kutotosheleza mahitaji.
Mtaalamu msaidizi wa damu...