Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA

Bango kwa ajili ya uhamasichaji wa uchangiaji damu.
Hapa ni kwa aajili ya kupimwa presha, ushauri na kutolewa damu.
Hatua ya kwanza kwa mchangia damu.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

NHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mpango wa taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda.Baadhi ya maofisa wa NHIF walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini. **********

 

10 years ago

Habarileo

Washauri bajeti Mpango Taifa wa Damu Salama

SERIKALI imeshauriwa kuongeza bajeti ya Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa damu salama linalovikabili vituo vingi vya kutolea huduma nchini.

 

11 years ago

Michuzi

MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA WASHIRIKI TAMASHA LA MICHEZO DAR LIVE

Mpango wa Taifa wa damu salama kanda ya mashariki jana ulishiriki Tamasha la michezo katika ukumbi wa Dar Live kwa kutoa elimu juu ya umuhimu wa kuchangia damu na kuendesha zoezi la kuchangia damu kwa hiari.
Tamasha hilo liliandaliwa na kuratibiwa na klabu ya Magenge ishirini na mianzini kwa kushirikisha klabu mbalimbali kama last jogging, Temeke family, kingugi, Respect na nyingine nyingi. Tamasha hilo lilidhaminiwa na Global publisher, PSPF, Akiba Commercila Bank na Damu salama ambapo...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yashirikiana na Kitengo cha damu salama cha taifa kuokoa maisha

Mtaalam wa Kutoa Damu wa Kitengo cha Damu Salama, Kanda ya Mashariki, Daudi Mkawa akimtoa damu Mfanyakazi wa Airtel Tanzania, Amitin Mbamba wakati wa zoezi la kuchangia damu lililofanywa na wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya Airtel, jijini Dar es Salaam jana. Kitengo cha Damu Salama kina upungufu mkubwa wa damu ambapo kiasi cha ujazo wa unit 350,000 zinahitajika kwa ajili ya dharura za kitabibu kila mwaka.Wafanyakazi wa Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Adam Suleiman na Frank Munale...

 

9 years ago

StarTV

Maisha ya wenye uhitaji wa damu salama mkoani Singida yapo hatarini

Mkoa wa Singida unakabiliwa na  tatizo la upungufu wa  damu katika hospitali zake kwa zaidi ya asilimia 60, hali inayotishia uhai wa  maisha ya wanawake wajawazito na watoto wakati wa  kujifungua, watu waliopata ajali  pamoja na wagonjwa wengine wenye uhitaji wa damu salama  haraka.

Imeelezwa kuwa mkoa huo ambao kwa wastani huwa na mahitaji ya Uniti 8,000 za damu kwa  mwaka, umekuwa ukikusanya Uniti zisizozidi 3,000 kwa kipindi hicho hivyo kutotosheleza mahitaji.

Mtaalamu msaidizi wa damu...

 

10 years ago

BBCSwahili

CHANGIA DAMU NDIPO UOE

Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu wanazidi huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka.

 

10 years ago

Michuzi

Changia mafunzo ya wakunga, okoa maisha ya mama na mtoto - Amref health africa

Mkurugenzi mkazi wa Amref Health Africa Dkt. Festus  Ilako akizungumzia maendeleo ya kampeni hiyo toka ilipozinduliwa mwaka 2011 na  uwatangaza mabalozi wapya wawili wa kampeni hiyo kuwa ni wasanii mashuhuri, Banana Zoro na Mwasiti Almasi  Nchini Tanzania, wanawake 7,900 hupoteza maisha kila mwaka wakati wa kujifungua. Zaidi ya asilimia 80 ya vifo hivi vingeweza kuepukika endapo wahudumu wa afya  wenye utaalamu wangetoa huduma kwa wakina mama wajawazito wakati wa kujifungua.  Kwa kuamini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani