Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA WASHIRIKI TAMASHA LA MICHEZO DAR LIVE

Mpango wa Taifa wa damu salama kanda ya mashariki jana ulishiriki Tamasha la michezo katika ukumbi wa Dar Live kwa kutoa elimu juu ya umuhimu wa kuchangia damu na kuendesha zoezi la kuchangia damu kwa hiari.
Tamasha hilo liliandaliwa na kuratibiwa na klabu ya Magenge ishirini na mianzini kwa kushirikisha klabu mbalimbali kama last jogging, Temeke family, kingugi, Respect na nyingine nyingi. Tamasha hilo lilidhaminiwa na Global publisher, PSPF, Akiba Commercila Bank na Damu salama ambapo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA

Bango kwa ajili ya uhamasichaji wa uchangiaji damu.
Hapa ni kwa aajili ya kupimwa presha, ushauri na kutolewa damu.
Hatua ya kwanza kwa mchangia damu.…

 

10 years ago

Michuzi

NHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mpango wa taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda.Baadhi ya maofisa wa NHIF walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini. **********

 

10 years ago

Habarileo

Washauri bajeti Mpango Taifa wa Damu Salama

SERIKALI imeshauriwa kuongeza bajeti ya Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa damu salama linalovikabili vituo vingi vya kutolea huduma nchini.

 

9 years ago

Michuzi

WANASOKA WANAWAKE ZAIDI YA 400 WASHIRIKI TAMASHA LA LIVE YOUR GOALS

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati) akifuatilia kabumbu ya wanawake iliyokua ikiendelea wakati wa tamasha la Live Your Goals kuhamasisha mpira wa miguu wa wanawake lililoandaliwa na FIFA jana jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karume. Kulia ni Mkurugenzi wa Michezo Bw. Leonard Thadeo, na kushoto ni Mwenyekiti Kamati Soka la Vijana Bw. Ayoub Nyenzi. Baadhi ya wanasoka wanawake kutoka katika vilabu mbalimbali vya mpira wa miguu...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yashirikiana na Kitengo cha damu salama cha taifa kuokoa maisha

Mtaalam wa Kutoa Damu wa Kitengo cha Damu Salama, Kanda ya Mashariki, Daudi Mkawa akimtoa damu Mfanyakazi wa Airtel Tanzania, Amitin Mbamba wakati wa zoezi la kuchangia damu lililofanywa na wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya Airtel, jijini Dar es Salaam jana. Kitengo cha Damu Salama kina upungufu mkubwa wa damu ambapo kiasi cha ujazo wa unit 350,000 zinahitajika kwa ajili ya dharura za kitabibu kila mwaka.Wafanyakazi wa Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Adam Suleiman na Frank Munale...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la mkesha wa Mwaka Mpya na Dua maalum ya kuliombea Taifa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIHUTUBIA TAIFA KWENYE TAMASHA LA MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA,JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la mkesha wa Mwaka Mpya na Dua maalum ya kuliombea Taifa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Taifa kwenye Tamasha la Mkesha wa mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika Disemba 31, 2014/2015 usiku wa kuamkia mwaka mpya Uwanja...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar

2

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.

1

 Hapa mkutano na wanahabari (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani