WANASOKA WANAWAKE ZAIDI YA 400 WASHIRIKI TAMASHA LA LIVE YOUR GOALS
![](http://1.bp.blogspot.com/-1Gb-N0ksoPU/VlwpSd0F0uI/AAAAAAAIJK0/TFI7YSIXTh0/s72-c/Pix%2B1.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati) akifuatilia kabumbu ya wanawake iliyokua ikiendelea wakati wa tamasha la Live Your Goals kuhamasisha mpira wa miguu wa wanawake lililoandaliwa na FIFA jana jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karume. Kulia ni Mkurugenzi wa Michezo Bw. Leonard Thadeo, na kushoto ni Mwenyekiti Kamati Soka la Vijana Bw. Ayoub Nyenzi.
Baadhi ya wanasoka wanawake kutoka katika vilabu mbalimbali vya mpira wa miguu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA WASHIRIKI TAMASHA LA MICHEZO DAR LIVE
Tamasha hilo liliandaliwa na kuratibiwa na klabu ya Magenge ishirini na mianzini kwa kushirikisha klabu mbalimbali kama last jogging, Temeke family, kingugi, Respect na nyingine nyingi. Tamasha hilo lilidhaminiwa na Global publisher, PSPF, Akiba Commercila Bank na Damu salama ambapo...
9 years ago
Bongo503 Oct
Wanasoka 10 wenye mvuto zaidi Duniani
10 years ago
MichuziWanawake Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
11 years ago
MichuziWanawake Mambo ya Nje washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400
Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim.Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la...
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Watu zaidi ya 400 wazama na Meli China
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxepGPe3FbGtGIYygjXJc2rjwqhiz5lZ1RcxCM7ilLd54yupoYimf4yr5gSgx*Qh4xxrdIFso85LLpa4tMOhD7oYw/1.jpg?width=650)
WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-NTlPHcDOST0/U5lZMi2QwmI/AAAAAAAAAsM/vDWtwSq5TY8/s72-c/James-A.-Lewis-of-CSIS.jpg)
ZAIDI YA DOLA BIL. 400 ZAPOTEA KUTOKANA NA UHALIFU MTANDAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-NTlPHcDOST0/U5lZMi2QwmI/AAAAAAAAAsM/vDWtwSq5TY8/s1600/James-A.-Lewis-of-CSIS.jpg)
Ripoti ndogo za awali tayari zimesha anza kutoka , hadi hivi sasa mbili kutoka MacAfee na pricewaterhousecoopers (PWC) zi mesha wekwa mitandaoni ilikutoa ruhusa kupitiwa na jamii mbali mbali huku ripoti nyingine zikiendelea...
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Sheria ya madini ‘yasitisha’ uchimbaji migodi zaidi ya 400 Mirerani