Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400

vodashop sinza

Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja  Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim.Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.

vodashop sinza 2

 Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VODACOM KUTENGENEZA AJIRA ZAIDI YA 400 KUPITIA MADUKA YAO‏

Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana, Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja. Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim. Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400 kupitia madukayake yaliyokwisha kufunguliwa hadi sasa

Kampuni ya mawasiliano nchini ya Vodacom imendelea na azma yake ya kuhakikisha inawafaidisha wateja wake kupitia huduma zake huku wakitengeneza nafasi za ajira kupitia maduka yake yanayoendelea kufunguliwa nchi nzima.   Hayo yameelezwa na Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja, Upendo Richard wakati akizindua duka jipya la Vodacom maeneo ya Sinza Afrika Sana ambalo linakuwa ni la 18 kwa wilaya ya Kinondoni pekee na la 79 Tanzania nzima.   “Dhamira kubwa ya kusambaza maduka haya ni kusogeza na...

 

11 years ago

Habarileo

Vodacom yatengeneza ajira 400

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom imeendelea na azma yake ya kuhakikisha inawafaidisha wateja wake kupitia huduma zake, huku wakitengeneza nafasi za ajira kupitia maduka yake yanayoendelea kufunguliwa nchi nzima.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuna nafasi ya kutengeneza ajira zaidi ya wanaume

Hivi karibuni Taasisi ya Kimataifa ya Global Entrepreneurship Monitor (GEM), ilitoa ripoti yake kuhusiana na kuongezeka kwa idadi ya wanawake wajasiriamali duniani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TSN yapongezwa kutengeneza ajira

SERIKALI imempongeza mwekezaji mzalendo wa kampuni za TSN kwa namna anavyoendelea kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa kuanzisha biashara mbalimbali ambazo hutengeneza nafasi za ajira. Pongezi hizo zilitolewa mwishoni...

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Serikali imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana

>Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Watanzania bado wanaishi maisha duni na kukosa ajira kutokana na mfumo wa Serikali uliopo wa kushindwa kutumia vyema rasilimali zilizopo kwa manufaa ya wananchi.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Awataka Wasomi Wasifikiri Kuomba Kazi Bali Wafikirie Kutengeneza Ajira

Mwigizaji na muongozji mkongwe wa Filamu hapa nchini, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni akiwa mkoani Mwanza,kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusiana ma mradi mpya wakuhamasisha watanzania kujikita zaidi kwenye ujasiriamali ianayofahamika kwa jina la : “FURSA YA KUJITAJIRISHA KIADILIFU”.

JB aliandika;

“Watanzania wenzangu hasa wasomi.tusifikiri kuomba kazi baada ya kuhitimu masomo yetu badala yake tufikirie kutengeneza ajira.inawezekana....”

Picha :JB akiongea na...

 

9 years ago

Vijimambo

Lowassa Ameanza Kutengeneza Ajira Za Vijana Mapema. Ona Mbeya Wanavyouza.


Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya -Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya-Mgombea Urais wa UKAWA Kupitia CHADEMA Leo atakuwa Jijini Mbeya kwa ajili ya kutambulishwa na kusaka...

 

10 years ago

Michuzi

KINUKAMORI WAOMBA DOLA 30,000 KUTENGENEZA AJIRA KWA WATU 300

Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro Executive Wilderness Program (EWP) inatafuta dola za marekani 30,000 kwa ajili ya kuendesha program tatu zenye kutengeneza ajira, ujasirimali, utunzaji wa mazingira na mvuto kwa watalii wanaokwenda kupanda mlima Kilimanjaro.
Kauli hiyo wameitoa kwa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez wakati alipofanya ziara ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani