Lipumba: Serikali imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana
>Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Watanzania bado wanaishi maisha duni na kukosa ajira kutokana na mfumo wa Serikali uliopo wa kushindwa kutumia vyema rasilimali zilizopo kwa manufaa ya wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboLowassa Ameanza Kutengeneza Ajira Za Vijana Mapema. Ona Mbeya Wanavyouza.
Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya -Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya-Mgombea Urais wa UKAWA Kupitia CHADEMA Leo atakuwa Jijini Mbeya kwa ajili ya kutambulishwa na kusaka...
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Dk Migiro aitetea Serikali uhaba wa ajira kwa vijana
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Serikali yasikia kilio cha ajira kwa vijana
9 years ago
Dewji Blog19 Sep
Serikali yakiri changamoto licha ya mafanikio ajira kwa vijana
Meza kuu katika warsha ya vijana na ajira iliyofadhiliwa na Mpango wa Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF. Kutoka kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya Kazi na Ajira kitengo cha Ajira, Joseph Nganga, Mkurugenzi wa Kazi katika Wizara ya Kazi na Ajira, Ally M. Ahmed,
Mkurugenzi wa Salama Foundation, Shadrack John Msuya akiwasilisha mapendekezo ya vijana juu ya namna ambavyo vipaji, elimu na ubunifu vinavyoweza kutengeneza ajira...
10 years ago
MichuziSerikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana
5 years ago
MichuziMAWAZIRI NA WADAU WA UTATU WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA WAPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA TAIFA YA UKUZAJI UJUZI KWA VIJANA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kulia) akizungumza na Mawaziri na Wadau wa Utatu wa SADC sekta ya Kazi na Ajira walipotembelea eneo la Kaole, Wilaya ya Bagamoyo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana,...
10 years ago
Michuzi12 Nov
KINUKAMORI WAOMBA DOLA 30,000 KUTENGENEZA AJIRA KWA WATU 300
Kauli hiyo wameitoa kwa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez wakati alipofanya ziara ...
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
KINUKAMORI waomba dola 30,000 kutengeneza ajira kwa watu 300
Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na UNDP huku akiwa amembatana na Mratibu wa Kitaifa miradi ya COMPACT...
10 years ago
MichuziVIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR