Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINUKAMORI WAOMBA DOLA 30,000 KUTENGENEZA AJIRA KWA WATU 300

Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro Executive Wilderness Program (EWP) inatafuta dola za marekani 30,000 kwa ajili ya kuendesha program tatu zenye kutengeneza ajira, ujasirimali, utunzaji wa mazingira na mvuto kwa watalii wanaokwenda kupanda mlima Kilimanjaro.
Kauli hiyo wameitoa kwa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez wakati alipofanya ziara ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

KINUKAMORI waomba dola 30,000 kutengeneza ajira kwa watu 300

DSC_0218

Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi  wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na UNDP huku akiwa amembatana na Mratibu wa Kitaifa miradi ya COMPACT...

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi wa reli kutoa ajira 300,000

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema Sh trilioni 14 zinatarajiwa kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha ‘standardgauge’, mradi ambao utakuwa ni mkubwa kutekelezwa na Serikali tangu ilipopata Uhuru.

 

10 years ago

Habarileo

Watu 191,844 waomba kazi Sekretarieti ya Ajira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.OFISI ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imepokea maombi ya kazi 191,844 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010 hadi Septemba, mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Serikali imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana

>Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Watanzania bado wanaishi maisha duni na kukosa ajira kutokana na mfumo wa Serikali uliopo wa kushindwa kutumia vyema rasilimali zilizopo kwa manufaa ya wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba 300,000/- kwa siku

HATIMAYE serikali imeweka hadharani kwamba kila mjumbe katika Bunge la Katiba ataweka kibindoni posho ya sh 300,000 kwa siku. Kwa maana hiyo, kila mjumbe katika Bunge hilo atakuwa amelipwa sh...

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi 7 wamuua mfanyabiashara kwa 300,000/-

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafari IbrahimuMAJAMBAZI 7 wakiwa na silaha mbalimbali wamemuua kwa kumpiga risasi mfanyabiashara Felix Laungeni (58) ambaye ni mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

11 years ago

Mwananchi

Rooney kulipwa pauni 300,000 kwa wiki

Katika mkataba huo wa miaka mitano aliosaini mshambuliaji huyo wa England atakuwa akichukua kiasi cha pauni 300,000 kwa wiki ambako kwa mwaka ataweka kibindoni pauni 15.6 milioni.

 

11 years ago

Habarileo

Posho Bunge la Katiba Sh 300,000 kwa siku

BUNGE Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000 kwa siku. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, aliwaambia waandishi wa habari hayo jana ndani ya ukumbi mpya wa Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi huo kuangalia mfumo wa kisasa wa sauti na mambo mengine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nywele ya Lincoln yauzwa kwa dola 25,000

Vitu vya aliyekuwa rais wa 16 wa Marekani Abraham Lincoln vimeuzwa katika mnada Marekani na kupata dola 800,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani