Rooney kulipwa pauni 300,000 kwa wiki
Katika mkataba huo wa miaka mitano aliosaini mshambuliaji huyo wa England atakuwa akichukua kiasi cha pauni 300,000 kwa wiki ambako kwa mwaka ataweka kibindoni pauni 15.6 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5vBx3EI3-TEZjofyYGNAibvK97Bav3fswZQ2sd1ysC2Y9yfgibh4sVTMheZvJQyYHTAXFOob53GvJ6WjZXq47e4OQKua0hgb/sanchez2.jpg)
SANCHEZ ATUA ARSENAL, KULAMBA PAUNI 140,000 KWA WIKI
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Messi ataka Pauni 600 kwa wiki England
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
Ronaldo ana thamani ya pauni milioni 300
10 years ago
Mwananchi29 Jul
Ikulu yakanusha Rais kulipwa Dola 16,000 kwa mwezi
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Bunge la Katiba 300,000/- kwa siku
HATIMAYE serikali imeweka hadharani kwamba kila mjumbe katika Bunge la Katiba ataweka kibindoni posho ya sh 300,000 kwa siku. Kwa maana hiyo, kila mjumbe katika Bunge hilo atakuwa amelipwa sh...
10 years ago
Habarileo20 Jun
Majambazi 7 wamuua mfanyabiashara kwa 300,000/-
MAJAMBAZI 7 wakiwa na silaha mbalimbali wamemuua kwa kumpiga risasi mfanyabiashara Felix Laungeni (58) ambaye ni mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
11 years ago
Habarileo17 Feb
Posho Bunge la Katiba Sh 300,000 kwa siku
BUNGE Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000 kwa siku. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, aliwaambia waandishi wa habari hayo jana ndani ya ukumbi mpya wa Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi huo kuangalia mfumo wa kisasa wa sauti na mambo mengine.
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
KINUKAMORI waomba dola 30,000 kutengeneza ajira kwa watu 300
Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na UNDP huku akiwa amembatana na Mratibu wa Kitaifa miradi ya COMPACT...