Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 191,844 waomba kazi Sekretarieti ya Ajira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.OFISI ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imepokea maombi ya kazi 191,844 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010 hadi Septemba, mwaka jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sekretarieti ya Ajira yalia na nyaraka pungufu za waomba kazi

SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imesema inakabiliwa na changamoto kubwa ya baadhi ya waombaji wa kazi mbalimbali kuwasilisha nyaraka pungufu na hivyo kuwasababishia kukosa nafasi ya kuchaguliwa au kukosa fursa ya kufanya usaili.

 

10 years ago

Habarileo

Sekretarieti ya ajira yaja na mfumo mpya wa maombi ya kazi

SEKRETARIETI ya ajira katika Utumishi wa Umma inatarajia kuzindua mfumo mpya wa utumaji na upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya mtandao kupitia ‘Recruitment Portal’ hivi karibuni baada ya hatua za majaribio ya mfumo huo kuonesha mafanikio.

 

10 years ago

Dewji Blog

KINUKAMORI waomba dola 30,000 kutengeneza ajira kwa watu 300

DSC_0218

Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi  wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na UNDP huku akiwa amembatana na Mratibu wa Kitaifa miradi ya COMPACT...

 

10 years ago

Michuzi

KINUKAMORI WAOMBA DOLA 30,000 KUTENGENEZA AJIRA KWA WATU 300

Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro Executive Wilderness Program (EWP) inatafuta dola za marekani 30,000 kwa ajili ya kuendesha program tatu zenye kutengeneza ajira, ujasirimali, utunzaji wa mazingira na mvuto kwa watalii wanaokwenda kupanda mlima Kilimanjaro.
Kauli hiyo wameitoa kwa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez wakati alipofanya ziara ...

 

11 years ago

Mwananchi

AJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 za kazi TBS

Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Sekretarieti ya Ajira yawananga wasomi

Yasema wengi wanawasilisha nyaraka duni Wengine wamesoma vyuo visivyotambuliwa Na Mwandishi Wetu
WAHITIMU wengi wanaotuma maombi ya kazi serikalini hawajui taratibu za kufuata, hivyo kushindwa kunufaika na fursa hizo kutokana na kuwasilisha nyaraka zisizokithi vigezo, imeelezwa.
Pia baadhi ya waombaji hao wamekuwa wakiwasilisha vyeti vya elimu visivyokidhi viwango na wengine kusoma katika vyuo ambavyo havitambuliki na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).
Kutokana na sababu hizo, baadhi ya wadau...

 

9 years ago

Mwananchi

Kairuki kuibana Sekretarieti Ajira

Imeelezwa kuwa mtumishi yeyote wa Sekretarieti ya Ajira atakayebainika kufanya kazi bila kuzingatia sheria, kanuni na utaratibu wa utumishi wa umma, atachukuliwa hatua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkwizu aifunda Sekretarieti ya Ajira

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu, ameitaka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kufanya kazi kwa ubora wa hali ya juu ili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekretarieti ya ajira yahimiza utoaji taarifa

SEKRETARIETI ya ajira imewataka wadau wake ambao watakuwa wamepotelewa, wameibiwa, wameharibikiwa ama kuunguliwa na vyeti vya kitaaluma na wale waliyosoma nje ya nchi, kutambua kuwa wanapaswa kutoa taarifa katika sehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani