Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekretarieti ya Ajira yawananga wasomi

Yasema wengi wanawasilisha nyaraka duni Wengine wamesoma vyuo visivyotambuliwa Na Mwandishi Wetu
WAHITIMU wengi wanaotuma maombi ya kazi serikalini hawajui taratibu za kufuata, hivyo kushindwa kunufaika na fursa hizo kutokana na kuwasilisha nyaraka zisizokithi vigezo, imeelezwa.
Pia baadhi ya waombaji hao wamekuwa wakiwasilisha vyeti vya elimu visivyokidhi viwango na wengine kusoma katika vyuo ambavyo havitambuliki na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).
Kutokana na sababu hizo, baadhi ya wadau...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkwizu aifunda Sekretarieti ya Ajira

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu, ameitaka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kufanya kazi kwa ubora wa hali ya juu ili...

 

9 years ago

Mwananchi

Kairuki kuibana Sekretarieti Ajira

Imeelezwa kuwa mtumishi yeyote wa Sekretarieti ya Ajira atakayebainika kufanya kazi bila kuzingatia sheria, kanuni na utaratibu wa utumishi wa umma, atachukuliwa hatua.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekretarieti ya ajira yahimiza utoaji taarifa

SEKRETARIETI ya ajira imewataka wadau wake ambao watakuwa wamepotelewa, wameibiwa, wameharibikiwa ama kuunguliwa na vyeti vya kitaaluma na wale waliyosoma nje ya nchi, kutambua kuwa wanapaswa kutoa taarifa katika sehemu...

 

9 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira watakiwa kuzingatia Maadili

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki akipata Maelezo ya juu wa upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya Mtandao kutoka kwa Naibu Katibu wa Kitengo cha TEHAMA Mhandisi Samweli Tanguye.

Na Kassim Nyaki.

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wameaswa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa kazi wanayoifanya ni nyeti na inagusa maisha ya watu ambayo itahitaji watu waadilifu, wapenda haki na mfano mwema kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Sekretarieti ya Ajira kuzipa rungu serikali za mitaa

SERIKALI za mitaa zitaruhusiwa kuanza kuajiri watumishi wa baadhi ya kada za chini katika mwaka wa fedha wa 2014/2015.

 

10 years ago

Habarileo

Watu 191,844 waomba kazi Sekretarieti ya Ajira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.OFISI ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imepokea maombi ya kazi 191,844 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010 hadi Septemba, mwaka jana.

 

9 years ago

Dewji Blog

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira nchini watakiwa kuzingatia Maadili!!

Mhe. Anjella Kairuki

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki  akipata maelezo kutoka kwa watendaji wa Sekretarieti ya ajira (hawapo pichani) alipofanya ziara katika ofisi hiyo, mapema leo Desemba 29.

Na Kassim Nyaki, Afisa Mawasiliano Sekretarieti ya Ajira

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wameaswa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa kazi wanayoifanya ni nyeti na inagusa maisha ya watu ambayo itahitaji watu...

 

10 years ago

Habarileo

Sekretarieti ya Ajira yalia na nyaraka pungufu za waomba kazi

SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imesema inakabiliwa na changamoto kubwa ya baadhi ya waombaji wa kazi mbalimbali kuwasilisha nyaraka pungufu na hivyo kuwasababishia kukosa nafasi ya kuchaguliwa au kukosa fursa ya kufanya usaili.

 

10 years ago

Habarileo

Sekretarieti ya ajira yaja na mfumo mpya wa maombi ya kazi

SEKRETARIETI ya ajira katika Utumishi wa Umma inatarajia kuzindua mfumo mpya wa utumaji na upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya mtandao kupitia ‘Recruitment Portal’ hivi karibuni baada ya hatua za majaribio ya mfumo huo kuonesha mafanikio.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani