AJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 za kazi TBS
Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
11 years ago
Habarileo01 Aug
6,740 wasailiwa kujaza nafasi 47
TAASISI na idara za Serikali zimeendelea na utaratibu mbovu wa kuajiri kwa kuita wasailiwa wengi kwa nafasi chache walizotangaza, ulioasisiwa na Idara ya Uhamiaji. Jana Shirika la Viwango Tanzania (TBS), lilianza kuwafanyia usaili watu 6,740 kwa ajili ya kuwania nafasi 47 tu zilizowazi, zilizotangazwa Aprili mwaka huu.
10 years ago
Michuzi
WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA WAJITOKEZE KUWANIA NAFASI MBALI MBALI KUWANIA NAFASI NEC

Iddi akikabidhiwa Fomu za kuwania nafasi ya Ujumbe wa Baraza laWawakilishi Zanzibar Jimbo la Mahonda kutoka kwa Afisa wa UchaguziWilaya ya Kaskazini B Ndugu Makame Pandu Khamis.

Pandu Khamis akitoa maelezo kumpatia Balozi Seif ya namna ya ujazajiwa fomu za kuwania Uwakilishi Jimbo la Mahonda Ofisini kwake MahondaWilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unaguja.

10 years ago
Bongo515 Oct
Ma-producer wenzangu wafanye kazi kwa bidii ili wapate nafasi ya kuwania tuzo za kimataifa — Sheddy Clever
10 years ago
Habarileo20 Jan
Watu 191,844 waomba kazi Sekretarieti ya Ajira
OFISI ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imepokea maombi ya kazi 191,844 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010 hadi Septemba, mwaka jana.
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi29 Jul
11 years ago
Mwananchi01 Sep
Wanachadema 284 kuwania nafasi 18
10 years ago
MichuziWANAWAKE JITOKEZENI KUWANIA NAFASI YA URAS- TGNP
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...