Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA WAJITOKEZE KUWANIA NAFASI MBALI MBALI KUWANIA NAFASI NEC

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akikabidhiwa Fomu za kuwania nafasi ya Ujumbe wa Baraza laWawakilishi Zanzibar Jimbo la Mahonda kutoka kwa Afisa wa UchaguziWilaya ya Kaskazini B Ndugu Makame Pandu Khamis.
 Afisa wa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini B Nd. Makame
Pandu Khamis akitoa maelezo kumpatia Balozi Seif ya namna ya ujazajiwa fomu za kuwania Uwakilishi Jimbo la Mahonda Ofisini kwake MahondaWilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unaguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanachadema 284 kuwania nafasi 18

Makada 284 wa Chadema wamerejesha fomu za kuomba kugombea nafasi 18 za uongozi wa Taifa wa chama hicho, huku watu wawili zaidi wakijitokeza ‘kupimana kifua’ na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

 

10 years ago

Michuzi

taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni na simu tv


Kwa taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KUWANIA NAFASI YA URAS- TGNP

Mwanaharakati  wa TGNP  kutoa kijiji  cha   Ifiga kata ya Ijombe Mbeya  Bi . Flora Mathias Mlowezi akifafanua  jambo  wakati  wa mafunzo ya  wanahabari juu ya wajibu  wa  wanawake na  vijana kujitokeza katika kuwania nafasi za  uongoziwashiriki  wa  mafunzo ya  TGNP kwa  wanahabari wa mikoa ya nyanda za juu kusini wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa  zikitolewa katika mafunzo  hayo.

BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKABIDHI VIFAA MBALI MBALI VYA UJENZI KATIKA JIMBO LA KITOPE

Wananchi wameendelea kutahadharishwa kuwa macho na tabia ya baadhi ya wanasiasa wenye hulka ya kushawishi jamii kutoshiriki harakati za maendeleo na ustawi wa jamii kwenye maeneo yao kwa sababu tu ya itikadi ya kisiasa.
Tahadhari hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya uwezekaji wa majengo ya Maabara na Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Fujoni iliyomo ndani ya Jimbo la Kitope Wilaya ya Kaskazini “ B”.
Balozi Seif ambae pia ni...

 

11 years ago

Mwananchi

AJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 za kazi TBS

Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wahimizwa kuwania nafasi uchaguzi serikali za mitaa

WANAWAKE kote nchini wamehimizwa kuacha malumbano na kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI ya Msama Promotions YATOA MSAADA WA VITU MBALI MBALI KWA VITUO 10 VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR


KAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu katika jamii.

Akikabidhi misaada hiyo katika ofisi zake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Msama alisema misaada hiyo ni sehemu ya fedha za mauzo ya DVD za Tamasha la Pasaka la mwaka huu.
Msama alisema kupitia mauzo ya DVD za Tamasha hilo ambalo lilifanyika April 6 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani