Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachadema 284 kuwania nafasi 18

Makada 284 wa Chadema wamerejesha fomu za kuomba kugombea nafasi 18 za uongozi wa Taifa wa chama hicho, huku watu wawili zaidi wakijitokeza ‘kupimana kifua’ na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA WAJITOKEZE KUWANIA NAFASI MBALI MBALI KUWANIA NAFASI NEC

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akikabidhiwa Fomu za kuwania nafasi ya Ujumbe wa Baraza laWawakilishi Zanzibar Jimbo la Mahonda kutoka kwa Afisa wa UchaguziWilaya ya Kaskazini B Ndugu Makame Pandu Khamis.
 Afisa wa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini B Nd. Makame
Pandu Khamis akitoa maelezo kumpatia Balozi Seif ya namna ya ujazajiwa fomu za kuwania Uwakilishi Jimbo la Mahonda Ofisini kwake MahondaWilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unaguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KUWANIA NAFASI YA URAS- TGNP

Mwanaharakati  wa TGNP  kutoa kijiji  cha   Ifiga kata ya Ijombe Mbeya  Bi . Flora Mathias Mlowezi akifafanua  jambo  wakati  wa mafunzo ya  wanahabari juu ya wajibu  wa  wanawake na  vijana kujitokeza katika kuwania nafasi za  uongoziwashiriki  wa  mafunzo ya  TGNP kwa  wanahabari wa mikoa ya nyanda za juu kusini wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa  zikitolewa katika mafunzo  hayo.

BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

11 years ago

Mwananchi

AJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 za kazi TBS

Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wahimizwa kuwania nafasi uchaguzi serikali za mitaa

WANAWAKE kote nchini wamehimizwa kuacha malumbano na kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.

 

11 years ago

Michuzi

Shaffih Dauda achukua fomu kuwania nafasi ya Uenyekiti TASWA

Pichani ni Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar),ambaye ametangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za MichezoTASWA.  Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha  tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari...

 

5 years ago

Michuzi

ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMBUNGE wa Kigoma mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amechukua fomu ya kugombea nafasi ya kutetea kiti cha uongozi wa  Chama cha ACT Wazalendo kwa mhula wa pili na wa mwisho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Machi mwaka huu.
 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya  kuchukua fomu hiyo muda mfupi  baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...

 

10 years ago

GPL

SALUM MWALIMU AJITOSA KUWANIA NAFASI YA UJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi. Maryam Ahmed Omar akimkabidhi Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za Chadema kisiwani humo.
Mmoja wa wachama wa CHADEMA Zanzibar Bikwao Khamis akitia saini ya fomu ya udhamini wa Salum Mwalim (aliyesimama wa kwanza kushoto) anaegombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya...

 

10 years ago

GPL

MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA UNAIBU KATIBU MKUU CCM ILI KUWANIA URAIS

Mwigulu Nchemba. ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba amejiuzulu nafasi hiyo ili awanie nafasi ya kugombea urais na nafasi yake imechukuliwa na Rajab Luhavi aliyekuwa mshauri wa rais katika siasa. Mwigulu amabye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo jioni katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma. Akithibitisha taarifa hiyo, Katibu wa NEC,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani