Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shaffih Dauda achukua fomu kuwania nafasi ya Uenyekiti TASWA

Pichani ni Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar),ambaye ametangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za MichezoTASWA.  Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha  tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMBUNGE wa Kigoma mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amechukua fomu ya kugombea nafasi ya kutetea kiti cha uongozi wa  Chama cha ACT Wazalendo kwa mhula wa pili na wa mwisho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Machi mwaka huu.
 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya  kuchukua fomu hiyo muda mfupi  baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KATIBU MKUU CHAMA CHA CUF

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akichukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Anayemkabidhi ni Kaimu Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Ussi Juma Hassan. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad...

 

10 years ago

Michuzi

MWIGULU ACHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS


Mh.Mwigulu akiwasili makao makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI mjini Dodoma kwaajili ya Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais wa Tanzania mwaka 2015.

Mh:Mwigulu akisaini kitabu cha Wagombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Lowassa achukua fomu za kuwania urais

Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, UKAWA, akifika ofisi ya Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu ya ur

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbabazi achukua fomu za kuwania urais Uganda

Waziri mkuu wa zamani wa Uganda Amama Mbabazi amechukua fomu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika mwakani

 

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea fomu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar ZEC Jecha Salum Jecha katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mikono wananchi katika Gari maalum akitokea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi...

 

9 years ago

Vijimambo

NYALANDU ACHUKUA FOMU YA NEC KUWANIA UBUNGE

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akichukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Kaskazini kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Singida, Faridda Mwasumilwe katika Ofisi za Halmashauri ya wilaya hiyo, juzi. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, akipokewa kwa shangwe na wananchi wa Kata ya Kinyagigi katika Jimbo la Singida Kaskazini wakati alipokwenda kuzungumza nao, muda mfupi baada ya kukabidhiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani