SALUM MWALIMU AJITOSA KUWANIA NAFASI YA UJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi. Maryam Ahmed Omar akimkabidhi Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za Chadema kisiwani humo. Mmoja wa wachama wa CHADEMA Zanzibar Bikwao Khamis akitia saini ya fomu ya udhamini wa Salum Mwalim (aliyesimama wa kwanza kushoto) anaegombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMdau Salum Mwalimu ajitosa kuwania nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Zanzibar
10 years ago
MichuziShamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu.
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Salum Mwalim ajitosa CHADEMA
MWANAHABARI Salum Mwalim, amejitosa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia nafasi za Zanzibar. Mwalim ambaye kwa sasa ni Meneja Uhusiano wa nje wa...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR, MMANGA MJENGO MJAWIRI AJITOSA KUWANIA URAIS ZANZIBAR
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Salum Mwalimu: Chadema kimbilio la wanyonge
SALUM Mwalimu, si jina geni kwa Watanzania wengi wanaofuatilia matukio yanayotokea hapa nchini na nje ya nchi mara kwa mara. Jina hili ni la mwanahabari aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa katika...
5 years ago
CCM BlogMWENYEKITI WA ZAMANI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ZANZIBAR (ZEC), JECHA SALUM JECHA AOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar (ZEC), Ndg, Jecha Salum Jecha leo hii Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu
5 years ago
CCM BlogMUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu