Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Salum Mwalimu ajitosa kuwania nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi Maryam Ahmed Omar akimkabidhi fomu Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za Chadema kisiwani humo. Mmoja wa wachama wa CHADEMA Zanzibar Bikwao Khamis akitia saini ya fomu ya udhamini wa Salum Mwalim (aliyesimama wa kwanza kushoto) anaegombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho kundi la Zanzibar. Mwalim alichukua na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SALUM MWALIMU AJITOSA KUWANIA NAFASI YA UJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi. Maryam Ahmed Omar akimkabidhi Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za Chadema kisiwani humo.
Mmoja wa wachama wa CHADEMA Zanzibar Bikwao Khamis akitia saini ya fomu ya udhamini wa Salum Mwalim (aliyesimama wa kwanza kushoto) anaegombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Shamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu.

Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Salum Mwalim ajitosa CHADEMA

MWANAHABARI Salum Mwalim, amejitosa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia nafasi za Zanzibar. Mwalim ambaye kwa sasa ni Meneja Uhusiano wa nje wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini

Na Ahmaid MMOW-Lindi 
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR, MMANGA MJENGO MJAWIRI AJITOSA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Kada wa Chama Cha Mapinduzi Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akichukua Fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM, akikabidhiwa na Katibu Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.  Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg.Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Salum Mwalimu: Chadema kimbilio la wanyonge

SALUM Mwalimu, si jina geni kwa Watanzania wengi wanaofuatilia matukio yanayotokea hapa nchini na nje ya nchi mara kwa mara. Jina hili ni la mwanahabari aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa katika...

 

5 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA ZAMANI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ZANZIBAR (ZEC), JECHA SALUM JECHA AOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar (ZEC), Ndg, Jecha Salum Jecha leo hii Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi



 

10 years ago

Mwananchi

Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu

Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

CCM Blog

MUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mussa Aboud Jumbe, akipokea mkoba wenye fomu za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zazibar, kutoka kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, hapo ofisi ya chama Kisiwandui Mjini Unguja. Mussa ni mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Hayati Aboud Jumbe. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR). 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani