Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


6,740 wasailiwa kujaza nafasi 47

TAASISI na idara za Serikali zimeendelea na utaratibu mbovu wa kuajiri kwa kuita wasailiwa wengi kwa nafasi chache walizotangaza, ulioasisiwa na Idara ya Uhamiaji. Jana Shirika la Viwango Tanzania (TBS), lilianza kuwafanyia usaili watu 6,740 kwa ajili ya kuwania nafasi 47 tu zilizowazi, zilizotangazwa Aprili mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

AJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 za kazi TBS

Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

WASAILIWA 1,281 KUINGIA DURU YA MWISHO YA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza.


Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...

 

11 years ago

Michuzi

JK AFANYA UTEUZI WA MABALOZI KUJAZA NAFASI ZILIZO WAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Mabalozi ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi na Mabalozi wastaafu kwa mujibu wa sheria. Mabalozi wateule na aliyehamishwa kituo ni kama ifuatavyo:

1. Balozi Dora Mmari Msechu (kushioto); ameteuliwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Stockholm, Sweden. Hadi uteuzi huu unafanyika Balozi Dora Mmari Msechu ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MAWAZIRI KUJAZA NAFASI ZILIZOKUWA WAZI

pombeRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.………………………………………………Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;1. Profesa Jumanne Maghembe – Ameteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.2. Dkt. Philip Mpango – Ameteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya...

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU WAZIRI ALIOWATEUA KUJAZA NAFASI ZILIZOSALIA, IKULU DAR LEO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Prof. Jumanne Magembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, wakati wa hafla fupi ya kuwaapishwa Mawaziri wapya walioteuliwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Desemba 28, 2015. Picha na OMR
  Mawaziri wapya walioteuliwa mwishoni mwa wiki wakisubiri kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ikuli jijini Dar es Salaam,leo Desemba 28, 2015. Picha na OMR

 

5 years ago

CCM Blog

MAWAKILI WATARAJIWA WASAILIWA KWA MTANDAO

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa ofisini kwake Jijini Dar es Salaam akimfanyia usaili  mhitimu wa Shule ya Sheria  kwa njia ya mtandao maarufu kama ”Video Conference” ikiwa ni maandalizi ya kuapishwa kuwa Wakili .
Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa mara ya kwanza amewafanyia usaili wahitimu wa taaluma ya Sheria kwa ajili ya kuwapokea na kuwakubali kuwa Mawakili  kwa njia ya   Mtandao  ‘Video...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kadi za CBA kutumika kujaza mafuta

BENKI ya Biashara ya Afrika (CBA) imetoa kadi maalumu za kujaza mafuta malori katika nchi mbalimbali barani Afrika. Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,  Mkuu wa Benki kwa...

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest apanga kujaza ukumbi unaochukua watu 20,000 Oct 1

October 31, rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest amepania kuweka historia ya kwanza jijini Johannesburg. Rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Refiloe Maele atafanya show yake kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome unaochukua watu 20,000 kuthibitisha kuwa msanii wa nyumbani anaweza kuujaza. Lengo ni kuujaza ukumbi huo kuonesha uzalendo kwa kile anachodai kuwa wasouth hawaviungi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani