WASAILIWA 1,281 KUINGIA DURU YA MWISHO YA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)
![](http://2.bp.blogspot.com/-zXKSsWaIG_s/U6F5MUcwGVI/AAAAAAAFrf0/D_vNsWPpM3s/s72-c/Untitled17.png)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI![](http://2.bp.blogspot.com/-zXKSsWaIG_s/U6F5MUcwGVI/AAAAAAAFrf0/D_vNsWPpM3s/s1600/Untitled17.png)
Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza.
Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAOMBAJI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI UHAMIAJI WAFANYA USAILI WA AWALI UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
11 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA KUHUSU ZOEZI LA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI LILILOFANYWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA UWANJA MPYA WA TAIFA TAREHE 13 JUNI, 2014
11 years ago
Michuzi29 Jul
11 years ago
Mwananchi19 Jun
1,281 wapita mchujo wa kazi Uhamiaji
11 years ago
Habarileo01 Aug
6,740 wasailiwa kujaza nafasi 47
TAASISI na idara za Serikali zimeendelea na utaratibu mbovu wa kuajiri kwa kuita wasailiwa wengi kwa nafasi chache walizotangaza, ulioasisiwa na Idara ya Uhamiaji. Jana Shirika la Viwango Tanzania (TBS), lilianza kuwafanyia usaili watu 6,740 kwa ajili ya kuwania nafasi 47 tu zilizowazi, zilizotangazwa Aprili mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Uchaguzi kuingia duru ya pili Brazil
11 years ago
Habarileo19 Jun
Usaili Uhamiaji ngoma nzito
MCHAKATO wa usaili kwa ajili ya kujaza nafasi za Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji zinazohitajika, unaendelea licha ya waombaji 4,834 kuchujwa katika awamu ya kwanza. Kati ya waombaji 6,116 waliofanyiwa usaili hivi karibuni jijini Dar es Salaam, waombaji 1,281 ndiyo wamebaki wakisubiri duru ya mwisho ya usaili, wabaki 70 watakaojaza nafasi hizo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-k0mteghNzok/VaOKgF2YXDI/AAAAAAAHpTU/DufjGdF7g14/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prica Komba atembelea kambi ya wakimbizi
![](http://3.bp.blogspot.com/-k0mteghNzok/VaOKgF2YXDI/AAAAAAAHpTU/DufjGdF7g14/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jvMDZLwDBgE/VaOKfkUGXvI/AAAAAAAHpTM/zHCOm5C63QQ/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Malawi kuingia kwenye duru ya pili ya uchaguzi baada ya matokeo ya mwaka jana kutupiliwa mbali