Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usaili Uhamiaji ngoma nzito

MCHAKATO wa usaili kwa ajili ya kujaza nafasi za Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji zinazohitajika, unaendelea licha ya waombaji 4,834 kuchujwa katika awamu ya kwanza. Kati ya waombaji 6,116 waliofanyiwa usaili hivi karibuni jijini Dar es Salaam, waombaji 1,281 ndiyo wamebaki wakisubiri duru ya mwisho ya usaili, wabaki 70 watakaojaza nafasi hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA PILI IDARA YA UHAMIAJI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza. Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...

 

11 years ago

Michuzi

WAOMBAJI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI UHAMIAJI WAFANYA USAILI WA AWALI UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Sehemu ya waombaji zaidi ya 10,000 wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi, Idara ya Uhamiaji wakifanya usaili wa awali wa kuandika ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ajili ya kujaza nafasi 70 za kazi ambazo zinahitajika katika Idara hiyo. Usaili huo uliongozwa na Maafisa Utumishi wa wizara hiyo, umefanyika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo ambapo baada ya wiki moja waliofaulu vizuri wataitwa kwa ajili ya usaili wa mwisho. Afisa Utumishi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,...

 

11 years ago

Michuzi

WASAILIWA 1,281 KUINGIA DURU YA MWISHO YA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza.


Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA ngoma nzito

MAKAO Makuu ya Jeshi la Polisi nchini jana yaligeuka uwanja wa mapambano kati ya askari na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliomfuata Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, aliyekwenda...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro ngoma nzito

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya mwenyekiti wake Revocatus Kuuli jana ilishindwa kujadili rufaa ya Dk. Damas Ndumbaro kutokana na wakili huyo kushindwa kutokea. 

 

10 years ago

GPL

NDINGA LA DUDE NGOMA NZITO!

Stori: Mayasa Mariwata ngoma nzito! Lile ndinga aina ya Toyota Vitz la mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambalo lilidaiwa kutumika kwa ujambazi juzikati, bado lina ugumu wa kuachiwa kutokana na watuhumiwa walioka matwa nalo kuhusishwa na makosa ya mauaji. Gari ndogo aina ya Toyota Vitz la mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka jeshi la polisi ambacho kiliomba hifadhi ya jina,...

 

10 years ago

GPL

CCM, LOWASSA NGOMA NZITO

Mwandishi wetu NGOMA nzito inaripotiwa kuwepo baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kada wake mkongwe, Edward Lowassa ambaye hivi karibuni alihamia Chadema, baada ya pande hizo mbili kutupiana shutuma, kila mmoja akimponda mwenzake. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1VQSsfV

 

11 years ago

Mwananchi

Atletico, Chelsea ngoma nzito

Atletico Madrid imeshindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani Vicente Calderon baada ya kulazimishwa sare 0-0 na Chelsea jana katika nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani