Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atletico, Chelsea ngoma nzito

Atletico Madrid imeshindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani Vicente Calderon baada ya kulazimishwa sare 0-0 na Chelsea jana katika nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chelsea v Atletico, Real v Bayern

Mabingwa watetezi Bayern Munich watawavaa mabingwa mara tisa Real Madrid wakati Chelsea wataivaa Atletico Madrid kwa mujibu wa ratiba ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa iliyopangwa jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Fainali na Real ni Chelsea au Atletico?

Timu za Chelsea na Atletico Madrid zinamenyana kucheza fainali za UEFA na Real Madrid

 

11 years ago

BBCSwahili

Chelsea na Atletico sare tasa UEFA

Chelsea walilinda lango leo na kuhakikisha kuwa Atletico Madrid hawapenyi, hatua ambayo ilihakikisha wanajikuta Sare ugenini. .

 

11 years ago

TZToday

HALF-TIME Chelsea 1-1 Atletico Madrid

HALF-TIME Chelsea 1-1 Atletico Madrid Chelsea Torres (36) Atletico Madrid Adrian (44)

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA ngoma nzito

MAKAO Makuu ya Jeshi la Polisi nchini jana yaligeuka uwanja wa mapambano kati ya askari na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliomfuata Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, aliyekwenda...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro ngoma nzito

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya mwenyekiti wake Revocatus Kuuli jana ilishindwa kujadili rufaa ya Dk. Damas Ndumbaro kutokana na wakili huyo kushindwa kutokea. 

 

11 years ago

Habarileo

Usaili Uhamiaji ngoma nzito

MCHAKATO wa usaili kwa ajili ya kujaza nafasi za Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji zinazohitajika, unaendelea licha ya waombaji 4,834 kuchujwa katika awamu ya kwanza. Kati ya waombaji 6,116 waliofanyiwa usaili hivi karibuni jijini Dar es Salaam, waombaji 1,281 ndiyo wamebaki wakisubiri duru ya mwisho ya usaili, wabaki 70 watakaojaza nafasi hizo.

 

10 years ago

GPL

CCM, LOWASSA NGOMA NZITO

Mwandishi wetu NGOMA nzito inaripotiwa kuwepo baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kada wake mkongwe, Edward Lowassa ambaye hivi karibuni alihamia Chadema, baada ya pande hizo mbili kutupiana shutuma, kila mmoja akimponda mwenzake. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1VQSsfV

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani