Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA PILI IDARA YA UHAMIAJI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza. Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

9 years ago

Michuzi

Taarifa ya walioitwa kwenye usaili TBS


Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa 25.5.2015 katika kada zifuatazo, kuwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 28 na 29 Septemba 2015 katika ofisi za TBS, Ubungo Dar es Salaam:-Standards Officer II (Pharmacy),Standards Officer II (Microbiology and Chemistry)Standards Officer II (Animal Science) Quality Assurance Officer II (Microbiology with Chemistry)Quality Assurance Officer II (Laboratory Science and Technology)Inspector II (Food &...

 

11 years ago

Michuzi

Idara ya Uhamiaji yahamishia shughuli zake zote kwenye jengo jipya Kurasini

 Taswira za  Uhamiaji House, jengo la Idara ya Uhamiaji ambamo  shughuli zote za mambo ya uhamiaji zinafanyika maeneo ya  Kurasini, wilaya ya Temeke, (nyuma ya Chuo cha Diplomasia), jijini Dar es salaam. Awali shughuli za uhamiaji zilikuwa zikifanyika katika jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani katikati ya jiji.

 

10 years ago

Michuzi

Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...

 

5 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAKABIDHIWA NYUMBA ZA MAKAZI KWA MAOFISA NA ASKARI WA IDARA YA HIYO ENEO LA IYUMBU, JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Wa kwanza kushoto) akisalimiana na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wa pili kulia) baada ya kuwasili katika eneo la Iyumbu, ilipofanyika hafla ya makabidhiano ya Nyumba 103 za Makazi kwa Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji, Jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Wa kwanza kushoto) akipokea salamu kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji...

 

11 years ago

Habarileo

Usaili Uhamiaji ngoma nzito

MCHAKATO wa usaili kwa ajili ya kujaza nafasi za Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji zinazohitajika, unaendelea licha ya waombaji 4,834 kuchujwa katika awamu ya kwanza. Kati ya waombaji 6,116 waliofanyiwa usaili hivi karibuni jijini Dar es Salaam, waombaji 1,281 ndiyo wamebaki wakisubiri duru ya mwisho ya usaili, wabaki 70 watakaojaza nafasi hizo.

 

11 years ago

Michuzi

WASAILIWA 1,281 KUINGIA DURU YA MWISHO YA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza.


Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...

 

11 years ago

Michuzi

WAOMBAJI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI UHAMIAJI WAFANYA USAILI WA AWALI UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

Sehemu ya waombaji zaidi ya 10,000 wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi, Idara ya Uhamiaji wakifanya usaili wa awali wa kuandika ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ajili ya kujaza nafasi 70 za kazi ambazo zinahitajika katika Idara hiyo. Usaili huo uliongozwa na Maafisa Utumishi wa wizara hiyo, umefanyika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo ambapo baada ya wiki moja waliofaulu vizuri wataitwa kwa ajili ya usaili wa mwisho. Afisa Utumishi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani