Taarifa ya walioitwa kwenye usaili TBS
![](http://1.bp.blogspot.com/-KxtabAkup-w/Vf833F4GVsI/AAAAAAAAtos/S9PbydfwtX0/s72-c/tbs_logo.gif)
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa 25.5.2015 katika kada zifuatazo, kuwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 28 na 29 Septemba 2015 katika ofisi za TBS, Ubungo Dar es Salaam:-Standards Officer II (Pharmacy),Standards Officer II (Microbiology and Chemistry)Standards Officer II (Animal Science) Quality Assurance Officer II (Microbiology with Chemistry)Quality Assurance Officer II (Laboratory Science and Technology)Inspector II (Food &...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL11 years ago
Michuzi19 Jun
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA PILI IDARA YA UHAMIAJI
![](https://4.bp.blogspot.com/-6FGv6PTfhsI/U6GmcIxaR3I/AAAAAAAAQ3c/YeFJfWVYr48/s1600/IKULU.jpg)
Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza. Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Idadi ya walioitwa TBS yaishtua wizara
10 years ago
Michuzi27 Aug
10 years ago
GPLWENGI WAJITOKEZA KWENYE USAILI WA SHINDANO LA TMT JIJINI MWANZA
10 years ago
Michuzi23 Jun
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fRyyi-swue4/VeS2ClHGeII/AAAAAAAH1ac/cGf8-NGgl04/s72-c/polisi.jpg)
TANGAZO KWA UMMA:JESHI LA POLISI TANZANIA LINAWAITA KWENYE USAILI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-fRyyi-swue4/VeS2ClHGeII/AAAAAAAH1ac/cGf8-NGgl04/s200/polisi.jpg)
RPC. Ofisi ya Kamanda wa Polisi, ...
11 years ago
Bongo511 Aug
Utafiti: Sikiliza ‘In Da Club’ ya 50 Cent kabla ya kuingia kwenye usaili wa kazi , utafanya vizuri
11 years ago
CloudsFM07 Aug