Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idadi ya walioitwa TBS yaishtua wizara

>Katibu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Uledi Mussa ameeleza kushtushwa na  idadi ya watu 6,740 watakaofanyiwa usaili kwa ajili kuwania nafasi 47 za kazi mbalimbali, zilizotangazwa na  Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Taarifa ya walioitwa kwenye usaili TBS


Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa 25.5.2015 katika kada zifuatazo, kuwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 28 na 29 Septemba 2015 katika ofisi za TBS, Ubungo Dar es Salaam:-Standards Officer II (Pharmacy),Standards Officer II (Microbiology and Chemistry)Standards Officer II (Animal Science) Quality Assurance Officer II (Microbiology with Chemistry)Quality Assurance Officer II (Laboratory Science and Technology)Inspector II (Food &...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya twiga Marius yaishtua dunia

KISA cha kuuawa kwa twiga aitwaye Marius kimenisukuma kuangalia maisha ya mnyama huyu katika safu hii. Lakini kabla hatujaanza kuyaangalia maisha ya twiga huyu, tuone kwa ufupi tukio hilo lilivyotokea...

 

9 years ago

Vijimambo

Kauli ya Ukawa kususia uchaguzi yaishtua Nec.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imeshtushwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kwamba watasusia uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Hata hivyo, Nec imetetea kauli iliyotolewa Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya Mgombea urais ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, kwamba CCM haitakubali kuiachia Ikulu Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Nec, Jaji Damian...

 

11 years ago

GPL

WACHEZAJI WALIOITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA

Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde.
Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao:
Goalkeepers: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Defenders: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester...

 

11 years ago

Michuzi

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA PILI IDARA YA UHAMIAJI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza. Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani