Idara ya Uhamiaji yahamishia shughuli zake zote kwenye jengo jipya Kurasini
Taswira za Uhamiaji House, jengo la Idara ya Uhamiaji ambamo shughuli zote za mambo ya uhamiaji zinafanyika maeneo ya Kurasini, wilaya ya Temeke, (nyuma ya Chuo cha Diplomasia), jijini Dar es salaam. Awali shughuli za uhamiaji zilikuwa zikifanyika katika jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani katikati ya jiji.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA IDARA YA UHAMIAJI KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM — AWATAKA WATENDAJI KWENDA NA KASI MPYA
5 years ago
MichuziTunataka Shughuli za Uchaguzi Mkuu 2020 zifanyike Jengo Jipya la NEC-Mhagama
Amebainisha hayo wakati alipofanya ukaguzi wa maendeleo ya Ujenzi wa majengo ya Tume hiyo, leo tarehe 10 Februari, 2020, ambapo...
11 years ago
Michuzi19 Jun
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA PILI IDARA YA UHAMIAJI

Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza. Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...
10 years ago
Michuzi
Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...
5 years ago
Michuzi
IDARA YA UHAMIAJI YAKABIDHIWA NYUMBA ZA MAKAZI KWA MAOFISA NA ASKARI WA IDARA YA HIYO ENEO LA IYUMBU, JIJINI DODOMA


10 years ago
Bongo515 Oct
Mabeste kumtumia mke wake kwenye video zake zote zinazokuja
11 years ago
GPL
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU AKABIDHI NYUMBA 103 KWA IDARA YA UHAMIAJI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi ulitolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Baada ya kukabidhi nyumba hizo, Waziri Mkuu amesema kwamba makazi hayo yawe chachu...