Mabeste kumtumia mke wake kwenye video zake zote zinazokuja
Rapper Mabeste amesema baada ya mke wake Lisa kufanya vizuri katika video ya wimbo wake ‘Usiwe Bubu’ ameona haina sababu ya kumtafuta mtu mwingine katika kazi zake zote zinazokuja. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Mabeste alisema hata ikitokea scene ya ujambazi bado itachezwa na mke wake. “Hakuna video itakayotoka bila mke wangu […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Meneja na mke wa Mabeste, Lisa apanga kuwakutanisha mastaa wa kike kwenye mchezo wa ‘Rede’
![Lisa Mabeste](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Lisa-Mabeste-300x194.jpg)
Kama wewe ni msichana una miaka zaidi ya 25 kwa sasa na enzi za utoto wako hukuwahi kucheza mchezo wa ‘Rede’, utakuwa ulikosa starehe kubwa.
Rede ni mchezo waliokuwa wakicheza wasichana ambapo wawili hukaa huku na kule na mmoja kuwa katikati akijitahidi kuijaza chupa mchanga huku akikwepa mpira anaopondwa na wawili hao.
Meneja na mke wa rapper Mabeste, Lisa Karl Fickenscher amesema anataka kuurudisha mchezo huo kwa kuandaa tamasha litakalohusisha mastaa mbalimbali wa kike na mashabiki...
9 years ago
Bongo511 Nov
Mo Music apanga kumtumia Lulu kwenye video yake mpya
![mo music](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mo-music-300x194.jpg)
Hitmaker wa Basi Nenda, Mo Music amesema anajipanga kufanya mazungumzo na muigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael ili awe mrembo kwenye video yake inayokuja.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa Lulu ni muigizaji mzuri anayeweza kucheza vizuri katika video hiyo.
“Plan zipo za kumtumia, sema bado sijazungumza naye lakini ipo kwenye mpango wa kufanya naye mazunguzo,” amesema Mo.
“Lulu ni muigizaji mzuri sana na pia namkubali kazi zake ndio maana nikaona kama akikaa kwenye project yangu mpya itakuwa...
9 years ago
Bongo529 Sep
Mabeste amtumia Lisa (mama wa mwanaye) kama video model kwenye video yake mpya ‘Usiwe Bubu’
11 years ago
MichuziIdara ya Uhamiaji yahamishia shughuli zake zote kwenye jengo jipya Kurasini
9 years ago
Bongo527 Nov
Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi
![Kala](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kala-300x194.jpg)
Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.
Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.
“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.
Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...
10 years ago
CloudsFM18 Feb
Mzee Yusuph kuoa tena mke wa watatu,Wake zake watupiana vijembe mtandaoni
Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana vijembe mtandaoni.
Akipiga stori na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa anatarajia kuoa mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba mipango ikiwa tayari kila kitu kitakuwa hadharani.
Hivi karibuni wake zake wawili ambao ni Malkia Leila Rashid ambaye pia ni mwimbaji...
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-vnYfGA_kUPQ/VReDrZrNuEI/AAAAAAADd6Y/FaaALmSR6Xg/s72-c/le%2Bmorne.jpg)
NYATU NYATU MENGI NA MKE WAKE KY_LYNN WAMEFUNGA HARUSI KWENYE KISIWA HIKI
![](http://3.bp.blogspot.com/-vnYfGA_kUPQ/VReDrZrNuEI/AAAAAAADd6Y/FaaALmSR6Xg/s1600/le%2Bmorne.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-OE1BQAA9L-I/VReDrDCNr_I/AAAAAAADd6Q/LnT1lgIANzA/s1600/mengi.jpg)