Mabeste amtumia Lisa (mama wa mwanaye) kama video model kwenye video yake mpya ‘Usiwe Bubu’
Rapper Mabeste anatarajia kuachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Usiwe Bubu’ Ijumaa hii ya Oct.2, wimbo ambao audio yake ilitoka mwezi January mwaka huu, . Kwenye video hiyo safari hii Mabeste ameamua kumtumia girlfriend wake ambaye pia ni mama wa mwanaye aitwaye Lisa kama video model. “Amekuwa video queen kwasababu nimeona ana vigezo vya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Oct
New Video: Mabeste — Usiwe Bubu
9 years ago
GPL05 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/38viuVifwA4/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Mabeste na mkewe kwenye ‘Usiwe Bubu’
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa hip hop nchini, William Ngwi ‘Mabeste’, anatarajiwa kuachia wimbo mpya alioimba peke yake utakaotamba kwa jina la ‘Usiwe Bubu’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mabeste alisema lengo la wimbo huo ni kuelimisha jamii kuwa na desturi ya kuweka mambo wazi ili kupata ufumbuzi utakaowatatulia matatizo.
“Niko njiani kuachia ngoma mpya itakayosikika masikioni mwa mashabiki kwa jina la ‘Usiwe Bubu’ ambayo nimeimba bila kumshirikisha mtu.
“Natoa wito kwa mashabiki wa...
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Meneja na mke wa Mabeste, Lisa apanga kuwakutanisha mastaa wa kike kwenye mchezo wa ‘Rede’
![Lisa Mabeste](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Lisa-Mabeste-300x194.jpg)
Kama wewe ni msichana una miaka zaidi ya 25 kwa sasa na enzi za utoto wako hukuwahi kucheza mchezo wa ‘Rede’, utakuwa ulikosa starehe kubwa.
Rede ni mchezo waliokuwa wakicheza wasichana ambapo wawili hukaa huku na kule na mmoja kuwa katikati akijitahidi kuijaza chupa mchanga huku akikwepa mpira anaopondwa na wawili hao.
Meneja na mke wa rapper Mabeste, Lisa Karl Fickenscher amesema anataka kuurudisha mchezo huo kwa kuandaa tamasha litakalohusisha mastaa mbalimbali wa kike na mashabiki...
9 years ago
Bongo520 Nov
Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga
![future na Chyna](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/future-na-Chyna-300x194.png)
Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.
Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.
Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...
10 years ago
Bongo522 Jan
New Music: Mabeste — Usiwe Bubu
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Rick Ross amtumia mchumba wake Lira Galore kwenye video mpya ‘Sorry’
![rick-ross-sorry-video](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/rick-ross-sorry-video-300x194.jpg)
Rick Ross ameachia video ya wimbo wake ‘Sorry’ aliomshirikisha Chris Brown ambao ulitoka mwezi uliopita.
Kwenye video hiyo Rozay amemtumia mchumba wake Lira Galore kama video model, ikiwa ni siku moja tu imepita toka rapper huyo apost video kwenye mtandao wa Snapchat ikimuonesha yuko na Lira ambaye alionekana amevaa pete ya uchumba aliyovishwa na Rozay, siku chache toka zisambae taarifa kuwa wawili hao wameachana na Lira karudisha pete.
‘Sorry’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album mpya...