Video: Rick Ross amtumia mchumba wake Lira Galore kwenye video mpya ‘Sorry’
Rick Ross ameachia video ya wimbo wake ‘Sorry’ aliomshirikisha Chris Brown ambao ulitoka mwezi uliopita.
Kwenye video hiyo Rozay amemtumia mchumba wake Lira Galore kama video model, ikiwa ni siku moja tu imepita toka rapper huyo apost video kwenye mtandao wa Snapchat ikimuonesha yuko na Lira ambaye alionekana amevaa pete ya uchumba aliyovishwa na Rozay, siku chache toka zisambae taarifa kuwa wawili hao wameachana na Lira karudisha pete.
‘Sorry’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album mpya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Nov
Rick Ross na mchumba wake Lira Galore wadaiwa kurudiana, mashabiki wanahisi ilikuwa ni ‘Kiki’
![rozay n lira](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/rozay-n-lira-300x194.jpg)
Wiki iliyopita zilienea taarifa za kuvunjika kwa uchumba kati ya Rick Ross na Lira Galore, baada Lira kuonekana akitoka nyumbani kwa rapper huyo akiwa hajavaa pete ya uchumba, na baadae Rozay naye alipost video Snapchat akiwa ameshikilia pete hiyo kitu kilichotoa uthibitisho kuwa huenda kweli uchumba umevunjika.
Lira ambaye aliwahi kuwa stripper jana amepost video mpya kwenye akaunti yake ya Snapchat ambayo inaonesha amevaa pete ile ile, na hakuwa peke yake, alikuwa na Rozay ambaye...
9 years ago
Bongo504 Nov
Rick Ross avunja uchumba na Lira Galore baada ya ugomvi mkubwa kutokea
![rick-ross-lira-galore](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/rick-ross-lira-galore-300x194.png)
Mapenzi kati ya rapper Rick Ross na mchumba wake Lira Galore yamefikia ukingoni baada ya kutokea ugomvi mkubwa kati yao, ikiwa ni takribani miezi miwili toka watangaze kuwa wachumba, TMZ imeripoti.
Bado haijafahamika sababu kubwa ya ugomvi huo uliosababisha Rozay na mchumba wake kuvunja uchumba, lakini inasemekana kuwa Galore ameondoa vitu vyake kutoka kwenye nyumba ya rapper huyo.
Rozay alimvisha pete ya uchumba Galore yenye thamani ya $350,000 mwezi September baada ya kudate naye kwa...
9 years ago
Bongo519 Sep
Rick Ross amchumbia girlfriend wake Lira Mercer
9 years ago
Bongo502 Nov
Video: Tyga amtumia tena girlfriend wake Kylie Jenner kwenye video mpya ‘Dope’d Up’
![tyga-kylie-doped-up-video](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tyga-kylie-doped-up-video-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo515 Aug
New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross
9 years ago
Bongo507 Oct
Rick Ross aeleza jinsi alivyomvisha pete ‘kibabe’ mchumba wake bila kupiga goti
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Rick Ross, Lira warudiana
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa hip hop nchini Marekani, Rick Ross na mpenzi wake, Lira Galore, wamerudiana baada ya kuachana kwa muda mrefu.
Mrembo huyo mwishoni mwa wiki iliyopita aliweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram, ambayo inaonesha wakiwa pamoja na Rick Ross.
“Kila kitu kipo sawa,” aliandika mrembo huyo kwenye akaunti hiyo. Hata hivyo, mrembo huyo alikanusha uvumi wa kwamba alikuwa anatoka na mpenzi wa zamani wa Amber Rose, Wizkhalifa.
“Amber Rose ni rafiki yangu wa karibu,...
9 years ago
Bongo520 Nov
Video: Future amtumia Blac Chyna kwenye video mpya ‘Rich $ex’, aitoa kwenye birthday ya Tyga
![future na Chyna](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/future-na-Chyna-300x194.png)
Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.
Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.
Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni...
10 years ago
Bongo527 Nov
New Video: Rick Ross aachia video 2 mpya ‘If They Knew’ & ‘Hood Billionaire’