New Video: Mabeste — Usiwe Bubu
Rapper Mabeste ameachia rasmi video yake mpya ya ‘Usiwe Bubu’ weekend iliyopita. Story ya video hii imewahusisha watu wawili tu ambao ni Mabeste na video model ambaye kwenye maisha ya kawaida ni mchumba na mama wa mtoto wa Mabeste aitwaye Lisa. Video imeongozwa na AJ. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL05 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/38viuVifwA4/default.jpg)
9 years ago
Bongo529 Sep
Mabeste amtumia Lisa (mama wa mwanaye) kama video model kwenye video yake mpya ‘Usiwe Bubu’
10 years ago
Bongo522 Jan
New Music: Mabeste — Usiwe Bubu
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Mabeste na mkewe kwenye ‘Usiwe Bubu’
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa hip hop nchini, William Ngwi ‘Mabeste’, anatarajiwa kuachia wimbo mpya alioimba peke yake utakaotamba kwa jina la ‘Usiwe Bubu’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mabeste alisema lengo la wimbo huo ni kuelimisha jamii kuwa na desturi ya kuweka mambo wazi ili kupata ufumbuzi utakaowatatulia matatizo.
“Niko njiani kuachia ngoma mpya itakayosikika masikioni mwa mashabiki kwa jina la ‘Usiwe Bubu’ ambayo nimeimba bila kumshirikisha mtu.
“Natoa wito kwa mashabiki wa...
10 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza
10 years ago
Bongo504 Nov
New Video: Mabeste Ft Peter Msechu — Nishauri
9 years ago
Bongo515 Oct
Mabeste kumtumia mke wake kwenye video zake zote zinazokuja