Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI AITV MOBILE TELEVISHENI - NAFASI 50

http://www.aitvapp.com/

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TZToday

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MADEREVA

 SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM (UDA)  SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) linawatangazia Watanzania wote hususan wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwamba linahitaji kuajiri madereva  kwa ajili ya kuendesha mabasi yake hapa jijini. SIFA ZA WAOMBAJIWaombaji wa kazi ya udereva wanatakiwa kuwa na umri wa kuanzia miaka 30-55, ujuzi wa udereva wa mabasi kutoka katika vyuo vya VETA, NIT, au chuo kingine kinachotambulika na Mamlaka ya Elimu ya Ufundi nchini (NECTA). Pia wanapaswa kuwa na leseni...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI, DUBAI, UAE.

Ubalozi Mdogo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Dubai, UAE, unapenda kuwatangazia Umma wa Watanzania kuwa Kampuni na Wakala wa Ajira ya CAREER FARAH LEISURES ya UAE, imetangaza kazi zifuatazo kwa watu wenye sifa zinazohitajika kuziomba.  Hivyo basi, Ubalozi Mdogo unawaomba Watanzania wenye sifa za kazi zilizotangazwa, kuziomba mara moja na kuwasilisha maombi hayo kama ilivyoonyeshwa kwenye tangazo hapo juu. Aidha, ili kurahisisha ufuatiliaji wa maombi yenu, tunakuombeni mtume pia...

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA KAMPUNI YA NOFO

Kampuniya NOFO ya jijini Dar es Salaam, inayojihusisha na uchapishaji na uuzaji wa vitabu vya hadithi za watoto, inatangaza nafasi kumi za kazi ya afisa masoko. Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe ndejarini@gmail.com kwenda kwa GENERAL MANAGER, NOFO, DSM
(1)    Shahada ya kwanza au stashahada ya juu ya biashara katika masoko

(2)    Uelewa mzuri na ueledi wa kuimarisha na kupanua wigo wa masoko

(3)    Ari na moyo wa kufikia malengo uliyowekewa

(4)    Uwezo wa kujieleza vizuri...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO CHA UFUNDI STADI MASIGITUNDA

CHUO CHA UFUNDI STADI CHA MASIGITUNDA KILICHOPO PERAMIHOKATIKA KIJIJI CHA MSHIKAMANO KINATANGAZA NAFASI ZIFUATAZO ZA
1. MKUU WA CHUO NAFASI MOJA (1):
AWE NA SIFA ZIFUATAZO;
1. AMEMALIZA KIDATO CHA NNE2. AWE NA DEGREE YA UALIMU NA UONGOZI3. AWE NA UFAHAMU WA UTUMIAJI COMPUTER4. AWE NA UZOEFU WA UTAWALA5. AWE NA UZOEFU WA KAZI MIAKA MIWILI (2)
2. MWALIMU WA UASHI NAFASI MOJA (1):
AWE NA SIFA ZIFUATAZO;
1. AMEMALIZA KIDATO CHA NNE2. AWE NA CHETI CHA UFUNDI UASHI GRADE I AU CBET LEVEL III3. AWE NA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani