Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAWAKILI WATARAJIWA WASAILIWA KWA MTANDAO

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa ofisini kwake Jijini Dar es Salaam akimfanyia usaili  mhitimu wa Shule ya Sheria  kwa njia ya mtandao maarufu kama ”Video Conference” ikiwa ni maandalizi ya kuapishwa kuwa Wakili .
Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa mara ya kwanza amewafanyia usaili wahitimu wa taaluma ya Sheria kwa ajili ya kuwapokea na kuwakubali kuwa Mawakili  kwa njia ya   Mtandao  ‘Video...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAWAKILI WATARAJIWA WAHOJIWA KWA MTANDAO


Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa ofisini kwake Jijini Dar es Salaam akimfanyia usaili  mhitimu wa Shule ya Sheria  kwa njia ya mtandao maarufu kama ”Video Conference” ikiwa ni maandalizi ya kuapishwa kuwa Wakili .Baadhi ya wahitimu wa Shule ya Sheria wakiwa wameketi kwenye chumba maalumu, Jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA TAASISI ZA HIJJA ZANZIBAR ZAANDAA KONGAMANO KWA MAHUJAJI WATARAJIWA

Na Ramadhani Ali –Maelezo Zanzibar Waislamu wa Zanzibar wanaotegemea kutekeleza Ibada ya Hijja mwaka huu wameshauriwa kukamilisha mipango ya safari hiyo mapema ili kuziwezesha Taasisi zinazosafirisha mahujaji kuweza kukamilisha taratibu mpya zilizowekwa na Serikali ya Saudi Arabia. Akizungumza katika Kongamano la mahujaji watarajiwa lililofanyika ukumbi wa Beit al Yamin Malindi, Afisa kutoaka Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Ustaadh Khalid Mohammed Mrisho amesema Serikali ya Saudi Arabia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taarifa kwa wabunge na wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wa 2015 Tanzania

newala 1

Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais unatarajia kufanyika hapo mwakani, Wabunge na wanaotaka kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini hata urais mnakaribishwa kuandaa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA VYAMA VYENU.

Kitabu kama hicho kitakuwezesha wewe Mgombea kutotumia nguvu kuubwa ya kujinadi badala yake utavigawa kwa wananchi mbalimbali jimboni kwako nawe kuelewa nini umewafanyia katika kipindi ambacho ulikuwa madarakani.

Pia wagombea wapya pia wanaweza andaa vitabu kama hivi...

 

11 years ago

Habarileo

6,740 wasailiwa kujaza nafasi 47

TAASISI na idara za Serikali zimeendelea na utaratibu mbovu wa kuajiri kwa kuita wasailiwa wengi kwa nafasi chache walizotangaza, ulioasisiwa na Idara ya Uhamiaji. Jana Shirika la Viwango Tanzania (TBS), lilianza kuwafanyia usaili watu 6,740 kwa ajili ya kuwania nafasi 47 tu zilizowazi, zilizotangazwa Aprili mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

NBC WAKUTANA NA MAWAKILI WA MAKAMPUNI MBALIMBALI KWA LENGO LA KUFAHAMIANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya NBC, Pius Tibarazwa, akizungumza katika hafla waliyowaandalia wanasheria kutoka makampuni mbalimbali ili kufahamiana na wafanyakazi wa NBC na pia kuwapa maelezo ya huduma za kibenki zinazotolewa katika kitengo cha huduma binafsi za kibenki kwa wateja wakubwa cha benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika katika kitengo hicho kilichopo ndani ya Jengo la Coco Plaza, Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya NBC, Pius Tibarazwa (katikati),...

 

5 years ago

Michuzi

WANAOTUHUMIWA KWA MAKOSA 667 WAWATUHUMU MAWAKILI WA SERIKILI KUSEMA UONGO MAHAKAMANI

  Watuhumiwa wakitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
MSHTAKIWA Yared Jonas anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  yenye mashtaka 667 likiwemo la wizi wa Umeme pamoja na wenzake wanne amedai kuwa hawakuwahi kutegemea kusikia mawakili wa serikali wanasema uongo mahakamani.
Mbali na Jonas, washtakiwa wengine ni Emilian Mlowe, Bashiru Ngella, Shakira Ngella na Mkama Maira.
Jonas amedai anashangaa kuona wanawabadirishia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkali watarajiwa Brazil

Mamiloni ya wapiga kura nchini Brazil wataanza kupiga kura muda mfupi unoakuja katika duru ya uchaguzi wa urais.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkataba wa amani wa Sudan-K watarajiwa

Viongozi wa Afrika Mashariki wakusanyika Ethiopia kwa mkutano kuhusu mkataba wa amani wa Sudan Kusini

 

11 years ago

Michuzi

WASAILIWA 1,281 KUINGIA DURU YA MWISHO YA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Wasailiwa 1,281 kati ya 6,115 waliofanya usaili wa kwanza tarehe 13 Juni, 2014 jijini Dar es Salam kuomba nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatarajiwa kuingia duru ya pili na ya mwisho ya usaili huo baada ya kufanikiwa kufaulu usaili wa kwanza.


Usaili huu ambao utafanyika kwa awamu utaanza tarehe 23 Juni hadi 03 Julai, 2014 na utafanyikia katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani