Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAOTUHUMIWA KWA MAKOSA 667 WAWATUHUMU MAWAKILI WA SERIKILI KUSEMA UONGO MAHAKAMANI

  Watuhumiwa wakitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
MSHTAKIWA Yared Jonas anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  yenye mashtaka 667 likiwemo la wizi wa Umeme pamoja na wenzake wanne amedai kuwa hawakuwahi kutegemea kusikia mawakili wa serikali wanasema uongo mahakamani.
Mbali na Jonas, washtakiwa wengine ni Emilian Mlowe, Bashiru Ngella, Shakira Ngella na Mkama Maira.
Jonas amedai anashangaa kuona wanawabadirishia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Ndingi Mwana a'Nzeki: Askofu aliyekiri kusema uongo mara moja azikwa Kenya

Askofu Ndingi Mwana a'Nzeki, ambaye amefariki akiwa na miaka 89 amezikwa leo Jumanne jijini Nairobi baada ya kuishi maisha marefu yenye kumbukumbu tele ikiwemo za kupambania haki na Amani nchini Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

ITV washushiwa Rungu na TCRA,Kisa Kusema Uongo Kwenye Maandano ya lowasa Juzi

EDWARD Lowassa ni kama ameanza kuipa majanga kituo cha Televisheni Cha ITV ndivyo naweza kusema baada ya Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kukitaka kituo hicho kuomba radhi mara mbili mfululizo kwenye taariifa zake za habari pamoja na kupewa onyo kali baada ya kukiuka sheria ya utangazaji nchini ya Mwaka 2005.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.Hukumu hiyo ilitolewa leo jijini Dar es Salaam na kamati ya maudhui ya utangazaji, katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano na Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi: Idris Sultan kupandishwa mahakamani kwa makosa ya mtandao kesho

Msemaji wa polisi nchini humo, David Misime ameiambia BBC kuwa upelelezi wa makosa ya kimtandao huchukua muda lakini wapo tayari kwa kesho kumpeleka mahakamani.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MEMBE AKANUSHA KUHUSU NDEGE YA RAIS WA CHINA KUBEBA PEMBE ZA NDOVU NA KUSEMA NI UONGO!

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe. WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amekanusha bungeni taarifa za maafisa wa China kuhusika kununua pembe za ndovu wakati wa ziara ya rais wa China na kusema taarifa hizo ni za uongo na za kupika. Waziri Membe amesema taarifa za EIA kwamba Tanzania haishughulikii tatizo la biashara haramu ya pembe za ndovu zina ajenda ya siri na...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUMISHI SABA TPA ,WAKILI WA KUJITEGEMA KWA TUHUMA ZA MAKOSA YA RUSHWA, UHUJUMU UCHUMI NA WIZI WA SH.BILIONI NANE


Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) pamoja na Wakili wa Kujitegemea kutoka Kampuni ya Mnengele &Associates na ELA Advocatee watafikishwa mahakamani wakati wowote kwa kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hayo yameelezwa leo Juni 12 mwaka 2020 na Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza Daud Ndyamukama kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo amefafanua watumishi hao tayari...

 

9 years ago

GPL

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO YAPINGWA MAHAKAMANI

Mkurugenzi wa THRDC, Onesmo Olengurumwa. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na mashirika mengine ya kutetea haki za binadamu leo wamefungua kesi ya Kikatiba kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya Makosa ya Mitandao. Vipengele vinavyopigwa ni kifungu cha 4, 5 na 45 (4) cha Sheria ya Makosa ya Mitandaoni ambacho kinazuia haki ya kupata na kutoa taarifa ambacho kinakinzana na Ibara ya 18 ya Katiba...

 

10 years ago

GPL

TAMKO LA KUDHALILISHWA KWA MASHEIKH WANAOTUHUMIWA KWA UGAIDI

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu na jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania, Ramadhani Sanze akisisitiza jambo. Sheikh Ally Baswalehe akisikiliza swali.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!

1005224_161118974079176_1902408761_n

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.

Tahariri ya leo Machi 10,  Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.

Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani