WAZIRI MEMBE AKANUSHA KUHUSU NDEGE YA RAIS WA CHINA KUBEBA PEMBE ZA NDOVU NA KUSEMA NI UONGO!
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe. WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amekanusha bungeni taarifa za maafisa wa China kuhusika kununua pembe za ndovu wakati wa ziara ya rais wa China na kusema taarifa hizo ni za uongo na za kupika. Waziri Membe amesema taarifa za EIA kwamba Tanzania haishughulikii tatizo la biashara haramu ya pembe za ndovu zina ajenda ya siri na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
NDEGE YA RAIS WA CHINA YAHUSISHWA NA WIZI WA PEMBE YA NDOVU
10 years ago
VijimamboKAULI YA WAZIRI MEMBE BUNGENI KUHUSU BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU.
Mheshimiwa Spika,
Siku ya Jana Vyombo vya Habari mbalimbali vya Ndani na Nje ya Nchi vilitoa habari kwamba ujumbe wa Rais wa China uliokuja nchini Miezi 18 iliyopita ulijihusisha na ununuzi wa pembe za ndovu nchini. Chanzo cha habari hizo ni taarifa ya taasisi isiyo ya kiserikali ya nchini Marekani ijulikanayo kama Environmental Investigation Agency (EIA). Habari hiyo imekwenda mbali zaidi kuituhumu nchi yetu na viongozi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FyhFouKIvdM/VFz4CcUo_tI/AAAAAAAGwAE/_xLWEv6EYKU/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
Serikali ya China yalaani vikali tuhuma za kuhusishwa kwa Ndege ya Rais wake kubeba meno ya ndovu kutoka nchini
Akizungumza leo mjini Arusha Balozi wa China Lu Youqing alisema kuwa huo ni uongo mkubwa ambao ulikuwa na nia ya kutia aibu taifa lake na Tanzania kwa ujumla.
Alisema kwamba Taifa lake hutoa adhabu kali kwa mtu anayefanya uovu kama ujangili, "Kama mwandishi angeweza kuthibitisha hao maafisa wangechukuliwa hatua kali, na hilo liko ndani ya uwezo...
10 years ago
Mtanzania04 Mar
China yapiga marufuku pembe za ndovu
Grace Shitundu na Hadia Khamis, Dar es Salaam
SERIKALI ya China imetangaza kuzuia uingizwaji wa pembe za ndovu nchini humo kwa mwaka mmoja ili kudhibiti kushamiri kwa biashara hiyo.
Hatua hiyo imechukuliwa na China wakati taifa hilo na nchi nyingine za Bara la Asia zikilalamikiwa na dunia kwa kuwa na soko kubwa la meno ya tembo hivyo kuchochea ujangili duniani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani, Waziri wa...
10 years ago
MichuziBALOZI WA CHINA NCHINI APONGEZA MSIMAMO WA TANZANIA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU
9 years ago
Bongo509 Oct
Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio
Kwenye stori kubwa leo December 23 2015 kuna hizi kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni Clouds FM. Kamanda Kova ametangaza kupiga marufuku disco toto siku za sikukuu, atangaza Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma na kukutwa na vipande zaidi ya 150 vya pembe za ndovu… Kuna stori pia kuhusu Polisi mmoja kutoroka […]
The post Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYDfIOh8pUWsaizlXUsTSe*yfo8voTH28ylI*ylP2SDDPESTNmH-I3JgVFNv0uayjlXBjf3DyZBYxvRcn6SK4Klh/mnyika2.jpg)
KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO
5 years ago
BBCSwahili17 May
Virusi vya corona:Rais Magufuli atoa maagizo ndege za kubeba watalii kuingia