Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio

Kwenye stori kubwa leo December 23 2015 kuna hizi kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni Clouds FM. Kamanda Kova ametangaza kupiga marufuku disco toto siku za sikukuu, atangaza Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma na kukutwa na vipande zaidi ya 150 vya pembe za ndovu… Kuna stori pia kuhusu Polisi mmoja kutoroka […]

The post Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO NA UKIUKAJI WA SHERIA ZA UENDESHAJI KUMBI ZA BURUDANI KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU YA PASAKA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi. Wanaelekezwa kuhakikisha wanakuwa na vibali halali vya uendeshaji wa kumbi zao, kuzingatia muda wa utumizi wa kumbi, kuepuka kelele zinazosumbua kwenye maeneo maalum hasa makazi ya watu na...

 

10 years ago

Mtanzania

China yapiga marufuku pembe za ndovu

Grace Shitundu na Hadia Khamis, Dar es Salaam
SERIKALI ya China imetangaza kuzuia uingizwaji wa pembe za ndovu nchini humo kwa mwaka mmoja ili kudhibiti kushamiri kwa biashara hiyo.
Hatua hiyo imechukuliwa na China wakati taifa hilo na nchi nyingine za Bara la Asia zikilalamikiwa na dunia kwa kuwa na soko kubwa la meno ya tembo hivyo kuchochea ujangili duniani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani, Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO NA UKIUKAJI WA SHERIA ZA UENDESHAJI KUMBI ZA SANAA NA BURUDANI KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU YA EID-EL-FITR



download (9)Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi.Wanaelekezwa kuhakikisha wanakuwa na vibali halali vya uendeshaji wa kumbi zao, kuzingatia muda wa matumizi ya kumbi, kuepuka kelele zinazosumbua kwenye maeneo maalum hasa makazi ya watu na kuhakikisha ulinzi na usalama wa maisha ya watu.Aidha,...

 

11 years ago

Michuzi

JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA RAIS WA CHINA YAHUSISHWA NA WIZI WA PEMBE YA NDOVU

Rais wa nchi ya China, Xi Jinping akiwapa mkono wananchi wa Tanzania. Inadaiwa kuwa wanunuzi, raia wa Uchina walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini Tanzania na kuzitorosha kutoka nchini humo katika ndege ya kibinafsi ya raia wa Uchina Xi Jinping wakati alipozuru bara Afrika.Kulingana na shirika la ujasusi la mazingira lililo na makao yake mjini London. Ndege ya rais wa China. Pembe hizo zilinunuliwa wiki… ...

 

9 years ago

Bongo5

Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m

Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MEMBE AKANUSHA KUHUSU NDEGE YA RAIS WA CHINA KUBEBA PEMBE ZA NDOVU NA KUSEMA NI UONGO!

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe. WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amekanusha bungeni taarifa za maafisa wa China kuhusika kununua pembe za ndovu wakati wa ziara ya rais wa China na kusema taarifa hizo ni za uongo na za kupika. Waziri Membe amesema taarifa za EIA kwamba Tanzania haishughulikii tatizo la biashara haramu ya pembe za ndovu zina ajenda ya siri na...

 

10 years ago

BBCSwahili

TZ yakanusha biashara ya pembe za ndovu

Tanzania imeshtushwa na ripoti inayoelezea biashara haramu ya meno ya tembo kati ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo na China

 

11 years ago

BBCSwahili

Pembe za ndovu zanaswa Mombasa

Shehena kubwa ya pembe za ndovu zanaswa Mombasa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani