China yapiga marufuku pembe za ndovu
Grace Shitundu na Hadia Khamis, Dar es Salaam
SERIKALI ya China imetangaza kuzuia uingizwaji wa pembe za ndovu nchini humo kwa mwaka mmoja ili kudhibiti kushamiri kwa biashara hiyo.
Hatua hiyo imechukuliwa na China wakati taifa hilo na nchi nyingine za Bara la Asia zikilalamikiwa na dunia kwa kuwa na soko kubwa la meno ya tembo hivyo kuchochea ujangili duniani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani, Waziri wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 Feb
JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio
Kwenye stori kubwa leo December 23 2015 kuna hizi kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni Clouds FM. Kamanda Kova ametangaza kupiga marufuku disco toto siku za sikukuu, atangaza Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma na kukutwa na vipande zaidi ya 150 vya pembe za ndovu… Kuna stori pia kuhusu Polisi mmoja kutoroka […]
The post Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
NDEGE YA RAIS WA CHINA YAHUSISHWA NA WIZI WA PEMBE YA NDOVU
10 years ago
MichuziBALOZI WA CHINA NCHINI APONGEZA MSIMAMO WA TANZANIA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU
10 years ago
GPLWAZIRI MEMBE AKANUSHA KUHUSU NDEGE YA RAIS WA CHINA KUBEBA PEMBE ZA NDOVU NA KUSEMA NI UONGO!
9 years ago
Bongo509 Oct
Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m
10 years ago
StarTV03 Jun
China yapiga marufuku uvutaji wa sigara maeneo ya wazi.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/29/141129034416_smoking_640x360_getty_nocredit.jpg)
Watakaokiuka sheria ya uvutaji sigara mjini Beijing kupigwa faini
Serikali ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing.
Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.
Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka.
Ripoti inasema...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
JK: Fungeni masoko ya pembe za ndovu
Na Mwandishi Maalumu, New York
RAIS Jakaya Kikwete, ametoa changamoto kwa wabunge wa Bunge la Marekani kufunga masoko ya pembe za ndovu na faru duniani, kama njia ya kukomesha ujangili dhidi ya wanyamapori katika nchi za Afrika.
Rais Kikwete, amewataka wabunge hao kuzisaidia nchi za Afrika kifedha ili kukomesha ujangili huo, kwa sababu wabunge hao tayari wameitangazia dunia kuwa wanazo fedha za kutosha kwa ajili ya kukabiliana na ujangili.
Rais Kikwete alitoa changamoto hiyo juzi usiku,...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ni meno ya tembo au pembe za ndovu?