Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDEGE YA RAIS WA CHINA YAHUSISHWA NA WIZI WA PEMBE YA NDOVU

Rais wa nchi ya China, Xi Jinping akiwapa mkono wananchi wa Tanzania. Inadaiwa kuwa wanunuzi, raia wa Uchina walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini Tanzania na kuzitorosha kutoka nchini humo katika ndege ya kibinafsi ya raia wa Uchina Xi Jinping wakati alipozuru bara Afrika.Kulingana na shirika la ujasusi la mazingira lililo na makao yake mjini London. Ndege ya rais wa China. Pembe hizo zilinunuliwa wiki… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI MEMBE AKANUSHA KUHUSU NDEGE YA RAIS WA CHINA KUBEBA PEMBE ZA NDOVU NA KUSEMA NI UONGO!

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe. WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amekanusha bungeni taarifa za maafisa wa China kuhusika kununua pembe za ndovu wakati wa ziara ya rais wa China na kusema taarifa hizo ni za uongo na za kupika. Waziri Membe amesema taarifa za EIA kwamba Tanzania haishughulikii tatizo la biashara haramu ya pembe za ndovu zina ajenda ya siri na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya rais yahusishwa na wizi

Inadaiwa kuwa wanunuzi,walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini Tanzania na kuzitorosha kutumia ndege ya rais wa china

 

10 years ago

Mtanzania

China yapiga marufuku pembe za ndovu

Grace Shitundu na Hadia Khamis, Dar es Salaam
SERIKALI ya China imetangaza kuzuia uingizwaji wa pembe za ndovu nchini humo kwa mwaka mmoja ili kudhibiti kushamiri kwa biashara hiyo.
Hatua hiyo imechukuliwa na China wakati taifa hilo na nchi nyingine za Bara la Asia zikilalamikiwa na dunia kwa kuwa na soko kubwa la meno ya tembo hivyo kuchochea ujangili duniani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani, Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali ya China yalaani vikali tuhuma za kuhusishwa kwa Ndege ya Rais wake kubeba meno ya ndovu kutoka nchini

Serikali ya China imelaani vikali uzushi uliotolewa na vyombo vya magharibi kutuhumu ndege ya Rais huyo kutumika kubeba meno ya ndovu kutoka nchini.
Akizungumza leo mjini Arusha Balozi wa China Lu Youqing alisema kuwa huo ni uongo mkubwa ambao ulikuwa na nia ya kutia aibu taifa lake na Tanzania kwa ujumla.
Alisema kwamba Taifa lake hutoa adhabu kali kwa mtu anayefanya uovu kama ujangili, "Kama mwandishi angeweza kuthibitisha hao maafisa wangechukuliwa hatua kali, na hilo liko ndani ya uwezo...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI APONGEZA MSIMAMO WA TANZANIA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani tarehe 10 Novemba, 2014 kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yao Mhe. Lu aliishukuru na kuipongeza Serikali ya Tanzania kwa msimamo wake kuhusu tuhuma dhidi yake na China kuhusu biashara haramu ya pembe za ndovu na pia alisifu   jitihada za Serikali ya Tanzania katika kupambana na biashara hiyo na kusema China inaunga mkono jitihada hizo na ipo...

 

9 years ago

Bongo5

Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m

Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]

 

9 years ago

MillardAyo

Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio

Kwenye stori kubwa leo December 23 2015 kuna hizi kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni Clouds FM. Kamanda Kova ametangaza kupiga marufuku disco toto siku za sikukuu, atangaza Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma na kukutwa na vipande zaidi ya 150 vya pembe za ndovu… Kuna stori pia kuhusu Polisi mmoja kutoroka […]

The post Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kuteketeza pembe za Ndovu

Tani tatu za pembe za Ndovu zitateketezwa hii leo Nchini Ufansa ili kuonyesha kujitolea kwa serikali ya taifa hilo katika vita dhidi ya biashara hiyo haramu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Pembe za ndovu zanaswa Mombasa

Shehena kubwa ya pembe za ndovu zanaswa Mombasa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani