Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.
Tahariri ya leo Machi 10, Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.
Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili27 May
Twitter yamuonya rais Donald Trump dhidi ya kuchapisha ujumbe wa 'uongo'
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Faini itapunguza uenezaji wa habari za uongo kuhusu Covid19?
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Je, uongo ni fani?
10 years ago
GPLSIFA YA WABONGO UONGO!
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Uongo, uzandiki na takwimu
JE, tuziamini tafiti zenye kutegemea takwimu kutabiri nani atashinda, na kwa kiwango gani, katika
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Supastaa Bongo...nitoleeni uongo
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Uongo wahatarisha biashara Dodoma
10 years ago
Habarileo15 Sep
Wassira alia na wanaoeneza uongo
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Stephen Wassira ametaka Watanzania kutokubali kudanganywa na watu wanaopita kwenye maeneo yao wakieneza uongo kwamba Serikali haijafanya maendeleo.
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Wananchi wafichua uongo wa mawaziri
WANANCHI wa vijiji vya kuzunguka Hifadhi ya Mbuga ya Taifa ya Serengeti (SENAPA) wamefichua udanganyifu waliodai kufanyiwa na baadhi ya mawaziri wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kuwa...