Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIFA YA WABONGO UONGO!

Wabongo bwana hahahahahahaha Wabongo kiboko. Kwa wale ambao wanasoma hii ishu na hawajawahi kuja Bongo nawataarifu kuwa mnapohangaika kutafuta viza za kuwaruhusu kuja Bongo, mjitayarishe kabisa kuwa  Wabongo ni binadamu wa aina nyingine kabisa hapa duniani. Wana sifa mbili kubwa, kwanza wanapenda sana kudanganywa na pili asilimia kubwa ni waongo wa kutupwa, siyo kwamba walizaliwa hivyo, hapana lakini wanalelewa na kutengenezwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!

1005224_161118974079176_1902408761_n

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.

Tahariri ya leo Machi 10,  Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.

Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal

robert-pires_3068381k

Robert Pires.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.

Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.

“Namjua Wanyama, ni balozi...

 

10 years ago

Vijimambo

My Humble letter to Wabongo


Women and the hope factor! I in my humble opinion I think the hope factor is a number one killer of many women who experienced abusive in relationship. Much research has shown that women who use hope factor as their shield to continue to live in a bad relationship normally something is wrong with them. Often they think they are not good enough or not strong enough to stand on their own feet. Recently, our beloved singer Lady Jaydee admitted that some redemption was needed in her marriage....

 

10 years ago

GPL

WABONGO SAUZI SI SALAMA

INATISHA! Huku Wabongo wengi wakiendelea kukimbilia Afrika Kusini (Sauzi) kwa kigezo cha kutafuta maisha mazuri, imethibitika kwamba hali ya amani nchini humo si salama. Wahamiaji wakionekana kujiokoa pamoja na watoto wao. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka nchini humo, Wabongo wengi na wageni wengine kutoka nchi tofautitofauti Afrika kama Zimbabwe, Botswana, Namibia na nchi nyingine wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya kikatili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabongo wamtaka Malope Agosti 3

MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando, amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya ‘Kamata Pindo la...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA WABONGO NDANI YA UHOLANZI

Taswira za Wabongo wakiwa katika harusi moja nchini Uholanzi. Kutoka kushoto ni Chura, Kisogole, Ondo na Nass. (Picha na mdau wa GPL, Uholanzi)

 

11 years ago

Michuzi

Ulaji kwa Wabongo UNDP


A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program Officer / Senior Regional Advisor -East Africa, who is Kenyan and based in Seattle, has told me that they have failed to find qualified Tanzanians to fill the positions indicated below. I did not believe her because I know we have a lot of talent in the different agricultural sciences. Please help to look for the right people so we do...

 

10 years ago

GPL

WABONGO WAMFUTA MACHOZI MISS TZ

Stori: Erick Evarist
SIKU chache baada ya kupatikana kwa mshindi wa Shindano la Miss World 2014, imethibitika kuwa Wabongo walimfuta machozi mshiriki wao, Happiness Watimanywa kwa kumpigia kura nyingi zilizosababisha kuingia hatua ya Kumi Bora ya Chaguo la Watu (People’s Choice). Happiness Watimanywa akiwa na mrembo wa dunia Rolene Strauss wa Afrika Kusini. Kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili usiku huko London...

 

11 years ago

GPL

WABONGO WANASWA WAKIFANYA UFUSKA!

Stori: Shakoor Jongo
ILE Oparesheni Fichua Maovu (OFM) chini ya Global Publishers, safari hii iko kimataifa zaidi ambapo wiki iliyopita ilitua huko Hong Kong, China na kunasa ufuska wa wanawake wa Kibongo wanaokwenda nchini humo kwa kigezo cha biashara kumbe wanakwenda kuuza miili. Baadhi ya mastaa wa Bongo wakikata mauno nchini China. OFM ilipata taarifa kutoka kwa chanzo chake ndipo ikatuma kachero wake nchini humo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani