Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabongo wamtaka Malope Agosti 3

MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando, amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya ‘Kamata Pindo la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wabongo wamtaka Rose Muhando amlete Rebecca Malope

MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Agosti 3, mwaka huu.
Uzinduzi huo utafanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali nchini wameshaalikwa kushiriki.

“Nimekuwa nikipokea simu nyingi za mashabiki wangu wakitaka nimualike Rebecca, najua kuna gharama zake kubwa, hivyo kwa kushirikiana na wasaidizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wamtaka Malope Pasaka

Waandaaji wa Tamasha la Pasaka wamesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa Injili Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye tamasha mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

FACEBOOK KUZINDULIWA JIJINI DAR AGOSTI 3,WAKAZI WA MWANZA WAJIANDAE AGOSTI 10 UWANJA WA CCM KIRUMBA


Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu kwa jina la FACEBOOK ya mwimbaji nguli wa muziki wa injili Rose Muhando, 
Msama alisema kuwa albamu hiyo itazinduliwa Agosti 3 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond-Jubilee jijini Dar es Salaam na baada ya hapo itatambulishwa katika mikoa kadhaa nchini.
 Msama amesema kuwa baada ya albamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malope kutikisa Mwanza Aprili 4

BAADA ya kuweka historia  katika Tamasha la Pasaka mwaka 2012, Malkia wa muziki wa injili Afrika Kusini, Rebecca Malope, anatarajia kuuinua umati wa mashabiki wa muziki huo jijini Mwanza, Aprili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malope atuma salamu Mwanza

MWIMBAJI wa nyimbo za injili wa kimataifa, Rebecca Malope, ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo linalotarajia kufanyika Mei 4...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanza wawasubiri Malope, Muhando

WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Mwanza wameonyesha kumkubali mwimbaji wa kimataifa kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope, katika Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika Mei 4 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Malope, Diamond waiteka Krismasi

Nyota wa muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Dk Rebecca Malope ameonyesha mfano kwa waimbaji wa muziki huo nchini baada ya kujituma, kuimba muziki huo laivu na kufanya vizuri katika tamasha la kumshukuru Mungu la Krismasi lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Rebeca Malope ndani ya Tamasha la Krismasi

rebecca-malopeNA MWANDISHI WETU

MWIMBAJI wa muziki wa injili, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini, anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, alisema mwimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake, Sarah K wa Kenya na Ephraim Sekeleti wa Zambia.

Msama alisema kamati yake inaendelea na mchakato wa kufanikisha tamasha hilo ambalo ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani