Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamtaka Malope Pasaka

Waandaaji wa Tamasha la Pasaka wamesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa Injili Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye tamasha mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wabongo wamtaka Malope Agosti 3

MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando, amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya ‘Kamata Pindo la...

 

11 years ago

Michuzi

Wabongo wamtaka Rose Muhando amlete Rebecca Malope

MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Agosti 3, mwaka huu.
Uzinduzi huo utafanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali nchini wameshaalikwa kushiriki.

“Nimekuwa nikipokea simu nyingi za mashabiki wangu wakitaka nimualike Rebecca, najua kuna gharama zake kubwa, hivyo kwa kushirikiana na wasaidizi...

 

11 years ago

Michuzi

Rebecca Malope kutumbuiza tamasha la Pasaka

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka mwaka huu.   Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa msanii huyo amepata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza.
“Tunashukuru kwamba baada ya mapendekezo ya mashabiki tuliwasiliana na Rebecca ambaye ameonesha uungwana wa hali ya juu na kutukubalia ombi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rebecca Malope akubali Tamasha la Pasaka

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa...

 

10 years ago

Mtanzania

Rebecca Malope kunogesha Tamasha la Pasaka

Rebecca MalopeNa Mwandishi Wetu

RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mwanamuziki wa injili, Rebecca Malope, amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka litakalofanyika nchini.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, sambamba na Malope, Afrika Kusini wanatarajia kutoka waimbaji wengine wawili ambao ni Solly Mahlangu na Sipho Makabane.

Msama alisema waimbaji wengine waliokubali kutumbuiza kwenye tamasha hilo ni pamoja na Ephraim...

 

11 years ago

Dewji Blog

MWENDELEZO WA PASAKA; Mwanamuziki Rebecca Malope kutumbuiza April 4 Jijini Mwanza

ribecca1

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope (pichani) anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY  April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.

“Tunashukuru...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA

Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd, ambao ndio waandaji wa tamasha la Krismas na Pasaka, Bwa. Alex Msama akiongea na wanahabari katika Viwanja vya Karimjee, jijini…

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini mwanza.

MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd,ambao ndio waandaji wa tamasha la krismass na Pasaka,Bwa.Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo April,20 mwaka huu yamekamilika.


Aakizungumza na Waandishi wa habari jijini dar leo katika viwanja vya Karimjee,Msama amebainisha kuwa kila kitu kimekwishakamilika,wakiwemo wasanii mbalimbali watakaotumbuiza siku hiyo,aidha amesema kuwa pamoja na wanamuziki wa nyumbani kushiriki tamasha hilo,pia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani