maandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini mwanza.
MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd,ambao ndio waandaji wa tamasha la krismass na Pasaka,Bwa.Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo April,20 mwaka huu yamekamilika.
Aakizungumza na Waandishi wa habari jijini dar leo katika viwanja vya Karimjee,Msama amebainisha kuwa kila kitu kimekwishakamilika,wakiwemo wasanii mbalimbali watakaotumbuiza siku hiyo,aidha amesema kuwa pamoja na wanamuziki wa nyumbani kushiriki tamasha hilo,pia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA
11 years ago
MichuziMWENDELEZO WA TAMASHA LA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.
“Tunashukuru kwamba...
11 years ago
Dewji Blog02 May
MWENDELEZO WA PASAKA; Mwanamuziki Rebecca Malope kutumbuiza April 4 Jijini Mwanza
MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope (pichani) anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.
“Tunashukuru...
11 years ago
GPLMWENDELEZO WA PASAKA; MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA
11 years ago
MichuziRebecca Malope kutumbuiza tamasha la Pasaka
“Tunashukuru kwamba baada ya mapendekezo ya mashabiki tuliwasiliana na Rebecca ambaye ameonesha uungwana wa hali ya juu na kutukubalia ombi...
10 years ago
MichuziMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE AWASILI USIKU HUU KUTUMBUIZA KESHO TAMASHA LA PASAKA JIJINI DAR.
11 years ago
Dewji Blog05 May
Rebecca Malope atikisa jiji la Mwanza mwendelezo wa Tamasha la Pasaka CCM Kirumba
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa mbele ya mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza jioni hii katika tamasha kubwa la Pasaka linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, baada ya lile la Shinyanga ambalo lilifanyika jana kwenye uwanja wa Kambarage mkoani humo, watu wengi wamefurika katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo pia Mbunge wa jimbo la Sengerema (CCM) Mh.William...
11 years ago
MichuziBAADA YA SHINYANGA,MWANAMUZIKI NYOTA WA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA LEO
Mwimbaji Mahiri wa muziki wa nyimbo za Kiroho a.k.a Injili,Rose Muhando akiimba wimbo wake mpya wa Facebook na Twitter mbele ya mashabiki wake,katika uwanja wa Kambarage mapema jioni ya leo mkoani Shinyanga,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa tamasha la Pasaka.Tamasha hilo linaloandaliwa na Msama Promotions Ltd kesho jumapili linaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba jijiini Mwanza,ambapo Nyota wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo...
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Rebecca Malope kunogesha Tamasha la Pasaka
Na Mwandishi Wetu
RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mwanamuziki wa injili, Rebecca Malope, amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka litakalofanyika nchini.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, sambamba na Malope, Afrika Kusini wanatarajia kutoka waimbaji wengine wawili ambao ni Solly Mahlangu na Sipho Makabane.
Msama alisema waimbaji wengine waliokubali kutumbuiza kwenye tamasha hilo ni pamoja na Ephraim...