MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE AWASILI USIKU HUU KUTUMBUIZA KESHO TAMASHA LA PASAKA JIJINI DAR.

Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayetambulika kwa jina la Rebecca Malope akipungia mkono mashabiki wake hawapo pichani mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) jioni hii tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka linalofanyika kesho kwenye uwanja wa michezo wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo Solly Mahlangu mwanamuziki nguli mwingine wa muziki wa injili kutoka nchini humo atawasili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
BAADA YA SHINYANGA,MWANAMUZIKI NYOTA WA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA LEO

10 years ago
MichuziMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WA AFRIKA KUSINI SIPHO MWAKABANE KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI OKTOBA 4 MWAKA HUU.
11 years ago
GPL
MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA
11 years ago
Michuzi
maandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini mwanza.
Aakizungumza na Waandishi wa habari jijini dar leo katika viwanja vya Karimjee,Msama amebainisha kuwa kila kitu kimekwishakamilika,wakiwemo wasanii mbalimbali watakaotumbuiza siku hiyo,aidha amesema kuwa pamoja na wanamuziki wa nyumbani kushiriki tamasha hilo,pia...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
REBECCA MALOPE: Malkia wa Injili Afrika, gumzo kwa mashabiki Tamasha la Pasaka 2014
JINA la Rebecca Malope si geni masikioni na machoni mwa wengi, hasa kwa wapenzi, mashabiki na wadau wa muziki wa Injili. Rebecca aliyezaliwa mwaka 1968, yu miongoni mwa waimbaji wa...
11 years ago
Michuzi
MWENDELEZO WA TAMASHA LA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.
“Tunashukuru kwamba...
11 years ago
Michuzi
Rebecca Malope kutumbuiza tamasha la Pasaka

“Tunashukuru kwamba baada ya mapendekezo ya mashabiki tuliwasiliana na Rebecca ambaye ameonesha uungwana wa hali ya juu na kutukubalia ombi...
11 years ago
Dewji Blog02 May
MWENDELEZO WA PASAKA; Mwanamuziki Rebecca Malope kutumbuiza April 4 Jijini Mwanza
MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope (pichani) anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.
“Tunashukuru...