Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rebeca Malope ndani ya Tamasha la Krismasi

rebecca-malopeNA MWANDISHI WETU

MWIMBAJI wa muziki wa injili, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini, anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, alisema mwimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake, Sarah K wa Kenya na Ephraim Sekeleti wa Zambia.

Msama alisema kamati yake inaendelea na mchakato wa kufanikisha tamasha hilo ambalo ni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rebeca Malope kutikisa Diamond Tamasha la Krismasi

MWIMBAJI nguli wa muziki  wa Injili barani Afrika, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama muimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake Sarah K wa Kenya  na Ephraim Sekeleti  wa Zambia ambao watafikisha shukrani za Watanzania baada ya kufanya uchaguzi Mkuu kwa amani na...

 

9 years ago

Michuzi

Malope kuwasili Alhamisi wiki hii tayari kwa Tamasha la Krismasi

03MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope anatarajia kuwasili nchini kesho saa tisa alasiri kwenye uwanja wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika keshokutwa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama kabla ya kuwasili kwa Malope leo watawasili watangulizi wake ambao watafika kwa ajili ya kufanya...

 

11 years ago

Michuzi

REBECA MALOPE AWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA,NGELEJA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULIOMBEA TAIFA

Pichani kati Mgeni rasmi,Mh.William Ngelleja akizindua albamu mpya ya nyimbo za injili ya muimbaji Grace Mwikwabe (pichani shoto) na kulia ni Mkurugrenzi wa Msama Promotions ambao ndio waandaji wa matamasha hayo ya pasaka na Xmass. Mgeni rasmi katika muendelezo wa tamasha la Pasaka,ambaye ni Mbunge wa jimbo la Sengerema,Mh.William Ngereja akizungumza machache mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye tamasha hilo,Ngeleja aliwataka viongozi mbalimbali kuliombea...

 

9 years ago

Mwananchi

Malope, Diamond waiteka Krismasi

Nyota wa muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Dk Rebecca Malope ameonyesha mfano kwa waimbaji wa muziki huo nchini baada ya kujituma, kuimba muziki huo laivu na kufanya vizuri katika tamasha la kumshukuru Mungu la Krismasi lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rebecca Malope akubali Tamasha la Pasaka

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa...

 

10 years ago

Mtanzania

Rebecca Malope kunogesha Tamasha la Pasaka

Rebecca MalopeNa Mwandishi Wetu

RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mwanamuziki wa injili, Rebecca Malope, amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka litakalofanyika nchini.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, sambamba na Malope, Afrika Kusini wanatarajia kutoka waimbaji wengine wawili ambao ni Solly Mahlangu na Sipho Makabane.

Msama alisema waimbaji wengine waliokubali kutumbuiza kwenye tamasha hilo ni pamoja na Ephraim...

 

11 years ago

Michuzi

Rebecca Malope kutumbuiza tamasha la Pasaka

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka mwaka huu.   Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa msanii huyo amepata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza.
“Tunashukuru kwamba baada ya mapendekezo ya mashabiki tuliwasiliana na Rebecca ambaye ameonesha uungwana wa hali ya juu na kutukubalia ombi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani